Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

Kwa kawaida ukitaka uweke jina kwenye plate number yako inabd ulipie sasa hapa naona imekuwa free mandela hiii... kila mtu anaweka
 
Nimekuwa nikiona magari mengi tofauti yana namba za usajili T2020 JPM, nauliza je hii ni namba halali kwa magari haya?

Nimeona magari zaidi ya 10 yana namba hii. Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii?

Mfano limesababisha ajali nikienda polisi nikiwatajia namba hii watajua ni ipi kati ya hizo nyingi zinazotumia namba hii?

Cc: Mkuu wa usalama barabarani.
Wamebadil lini?Zilikuwa na Namba CCM.Haya ni maajabu na uvunjifu wa sheria za usalama barabarani huku tukiwashangilia.Je,wengine wakifanya hivyo wataruhusiwa?
 
Hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho,naamini kila kitu na wakati wake.

Ila usimwamini mwanadamu mwenzako,maana aweza kuwa rafiki pia adui kwa nyakati tofauti.Amigo
 
Nikweli hata mimi nimeziona, sijui zinatolewaje!
Wahalifu pia wanaweza tumia mwanya huo wakatekeleza jambo lao.


Hizo namba zinatumika kwenye magari ya WAHALIFU = WATEKAJI, WAUWAJI, WATESAJI NA KILA AINA YA UHALIFU.
 
Mwambie asishindane nae kwa Nchi za Kiafrika Rais yupo juu kuliko hata Mungu si umeisikia ile video ya kimkakati mwanadada mwenzako alivyotamka ushindi wa CCM hauhitaji Mungu akipenda akipenda asipende ushind LAZIMA si ndio??
Aisee

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom