Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

Kwa hio hizi No. Maalumu 'za kiserikali' sasa mtu binafsi anaruhusiwa kuzisajili sio?

Kwa mfano hii:T 2020 JPM umaalumu wake unakua ni upi kulinganisha na hizo No. Binafsi.?
Hzo n za mda mfupi Ila kitu wamekosea n kuachia ad watu wakawaida watumie huenda alietoa hlo wazo hakufikir kwa kina faida na hasara zake lakn kutumika kweny msafara wa rais n sawa kabsa na ilitakiwa iwe hvyo wengne huko wabandike stika pembezon bac n hvyo kunakitu Kama mabavu kimetumika bila kushirikisha akil
 
Ingawa sijaelewa vzr ila acha nizuge tu nimeelewa mkuu.
 
Yan hzo hyo number n maalum haiwez fananishwa na binafs ingawa walichokosea n kugawa ad kwa raia ilitakiwa zle gar za kijan Yuko nazo rais ndo ziwe na hzo number tu hao waliobak huko mfano wazir mkuu wabunge kule wanakoenda kumpiga kampen wabandike tu stika pemben co kweny plate number ndo nkasema Hapo hlo kosa huenda linafanyika kimabavu bila kufikiria hasara yake
 
Kila siku tunapiga kelele kuhusu Serikali hii na CCM yake wanafanya mambo ya kipuuzi yaliyo kinyume cha Sheria lakini hakuna hatua inayochukuliwa. Imagine hayo magari yangekuwa yameandikwa Lissu au Rungwe unadhani yangeruhusiwa kupita Barabarani?
Nchi ina watawala wa hovyo haijawahi kutokea.
 
Ni hivi, hizo ni private number na zinalipiwa TRA.
Hata wewe kama una gari 5 na zote unataka kuweka jina lako (Rrondo) ni pesa yako tu
Uko sahihi kwa asilimia 5% tu, private numbers zinasajiliwa lakini (sidani) kama zinafananishwa hivi. Mfano ukiipa gari moja namba ya 'countrywid' basi inayofuata inabidi iwe 'countrywid2' au ''countrywie-b' nk maana utambulisho wa hivi vifaa inabidi uwe unique kwa kila kifaa. Kwa hiyo moja inaweza kuwa T2020 CCM lakini nyingine labda iwe T2020 CCM 2.
Mwenye wazo zaidi ya hili anikosoe tafadhali
 
Ingawa sijaelewa vzr ila acha nizuge tu nimeelewa mkuu.
Kwa nilivyomuelewa mimi ni kuwa labda hizo namba ni za msafara maalum wa kampeni ila wengine huku kitaa wamezivamia kama ulivyosema msafara ule huwa una ma VX Y62 nk na sio hizi Altezza huku mtaani.
 
Uko sahihi kwa asilimia 5% tu, private numbers zinasajiliwa lakini (sidani) kama zinafananishwa hivi. Mfano ukiipa gari moja namba ya 'countrywid' basi inayofuata inabidi iwe 'countrywid2' au ''countrywie-b' nk maana utambulisho wa hivi vifaa inabidi uwe unique kwa kila kifaa. Kwa hiyo moja inaweza kuwa T2020 CCM lakini nyingine labda iwe T2020 CCM 2.
Mwenye wazo zaidi ya hili anikosoe tafadhali
Nishaona SH....COM 1, SH....COM2, SH....COM 3
 
Nimekuwa nikiona magari mengi tofauti yana namba za usajili T2020 JPM, nauliza je hii ni namba halali kwa magari haya?

Nimeona magari zaidi ya 10 yana namba hii. Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii?

Mfano limesababisha ajali nikienda polisi nikiwatajia namba hii watajua ni ipi kati ya hizo nyingi zinazotumia namba hii?

Cc: Mkuu wa usalama barabarani.
Mkuu, hayo Ni maandalizi ya 28/10/2020..
Yatarahisisha wizi wa kura, kusafirisha na kuwasilisha masanduku ya kura feki, utekaji, wizi, unyang'anyi na uovu mwingine woote.
Na kwa kuwa hayana namba za pekee (unique) kuyafuatilia haiwezekani!
 
Katibu Mwenezi wa CCM Bwana Slowslow ni mwizi(Mwenezi) na Kibaka unategemea Nini?

Katibu Mkuu Bwana Bashiru(Bushiri )ni msanii na mcheza Bongo Fleva unategemea Nini hapo?

Magufuli amedanganywa na kudanganyika na hao watendaji wa Chama chake CCM. Magari yote ya Ikulu yakapigwa RANGI KIJANI na kubadilisha plate numbers kutoka ST-X na kuwa T2020 JPM.....!!!

Yaani Bashiru na Polepole uso wa nyani wanategemea kushinda Uchaguzi kwa mbwembwe za kitoto!!
Magufuli kwa hofu ya kushindwa Uchaguzi akakubali upuuzi huu wa kutumia RASLIMALI za Serikali kwene Kampeni zake hakika ni kuingizwa Choo Cha kike na itakula kwao.
Hayajapigwa Rangi..

Zile ni sticker mkuu,

Kama ambavyo unaona watu wanaprint sticker za ccm na kubandika magari yao.

Kampeni zikiisha utaona watabandua sticker tuu..

Kama hii hapa..
20201006_105739.jpg
 
Nimekuwa nikiona magari mengi tofauti yana namba za usajili T2020 JPM, nauliza je hii ni namba halali kwa magari haya?

Nimeona magari zaidi ya 10 yana namba hii. Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii?

Mfano limesababisha ajali nikienda polisi nikiwatajia namba hii watajua ni ipi kati ya hizo nyingi zinazotumia namba hii?

Cc: Mkuu wa usalama barabarani.
Lakini utawasikia wakisema nakujisabu kwa msisitizo hata kama uchaguzi sheria za nchi zipo pale pale na zinapaswa kuheshimiwa😂😂😂😂😂mahubiri na matendo yao tofauti kabisa
 
Nimekuwa nikiona magari mengi tofauti yana namba za usajili T2020 JPM, nauliza je hii ni namba halali kwa magari haya?

Nimeona magari zaidi ya 10 yana namba hii. Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii?

Mfano limesababisha ajali nikienda polisi nikiwatajia namba hii watajua ni ipi kati ya hizo nyingi zinazotumia namba hii?

Cc: Mkuu wa usalama barabarani.
Ni suala la kiusalama zaidi kuliko siasa Kama ulikuwa hujui...
 
Sijakuelewa mkuu. Kuweka namba hio hio kwenye gari ina usalama gani maanake hata moja ikipiga tukio haitajulikana?
 
Mkuu, hayo Ni maandalizi ya 28/10/2020..
Yatarahisisha wizi wa kura, kusafirisha na kuwasilisha masanduku ya kura feki, utekaji, wizi, unyang'anyi na uovu mwingine woote.
Na kwa kuwa hayana namba za pekee (unique) kuyafuatilia haiwezekani!
Aisee!
 
Back
Top Bottom