mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,400
- 3,853
Kwenye licha yansonekana yako maeneo tofauti.[emoji1787][emoji1787]
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye licha yansonekana yako maeneo tofauti.[emoji1787][emoji1787]
Huku Mbeya hadi gari la matangazo analotumia Tulia lina namba hiyo hiyo T2020 JPM
Katibu Mwenezi wa CCM Bwana Slowslow ni mwizi(Mwenezi) na Kibaka unategemea Nini?Nimekuwa nikiona magari mengi tofauti yana namba za usajili T2020 JPM, nauliza je hii ni namba halali kwa magari haya?
Nimeona magari zaidi ya 10 yana namba hii. Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii?
Mfano limesababisha ajali nikienda polisi nikiwatajia namba hii watajua ni ipi kati ya hizo nyingi zinazotumia namba hii?
Cc: Mkuu wa usalama barabarani.
No!Unaelewa kuwa viongozi wanapaswa kutukanwa sana?Hamna mtu anapaswa kutukanwa. Kila mtu anapaswa kuheshimiwa.
hata mgombea udiwani wa CCM huku segerea plate namba ni hivo hivo kwahiyo siyo kwa msafara wa JPM tuUtapoteza muda wako. Wewe umeyaona kama kumi hivi kwa hiyo yapo zaidi ya hayo. Utakapokuwa unatoa taarifa utalitofautishaje hilo na yale tisa mengine?
yan inatia hasira sanaHalafu tume isiyo huru ya uchaguzi inatumwa kuja kusema eti yenyewe ni tume huru. Shubamiit.
Mwambie asishindane nae kwa Nchi za Kiafrika Rais yupo juu kuliko hata Mungu si umeisikia ile video ya kimkakati mwanadada mwenzako alivyotamka ushindi wa CCM hauhitaji Mungu akipenda akipenda asipende ushind LAZIMA si ndio??
yan inatia hasira sanaHalafu tume isiyo huru ya uchaguzi inatumwa kuja kusema eti yenyewe ni tume huru. Shubamiit.
Ninaamini lina namba zake za kusajiliwa, wanatumia hizo kwa kampeni tu. Ni sawa na magari ya mawaziri. Kwa namba za Tanzania baada ya herufi T inafuatiwa na namba tatu na siyo nne na mwisho herufi tatu.Kwahiyo likinigonga nisiende kuripoti?
Think Tanks wa chama hicho wana matatizo, yaani wanashindwa kufanya mambo kwa kuheshimu sheria, hata kama hawajasajili basi wangetumia akili kwa kuyatofautisha namba kama CCM1, CCM2 nk..yote yameandikwa CCM, na sheria inasema huwezi kusajili magari 2 kwa namba inayofanana.Nimekuwa nikiona magari mengi tofauti yana namba za usajili T2020 JPM, nauliza je hii ni namba halali kwa magari haya?
Nimeona magari zaidi ya 10 yana namba hii. Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii?
Mfano limesababisha ajali nikienda polisi nikiwatajia namba hii watajua ni ipi kati ya hizo nyingi zinazotumia namba hii?
Cc: Mkuu wa usalama barabarani.
Ninaamini lina namba zake za kusajiliwa, wanatumia hizo kwa kampeni tu. Ni sawa na magari ya mawaziri. Kwa namba za Tanzania baada ya herufi T inafuatiwa na namba tatu na siyo nne na mwisho herufi tatu.
Ishu sio kushindana na raisi, ishu kuhusu usalama , huoni kwamba watu wenye nia ovu wanaweza kutumia mwanya huo kufanya uovu kupitia hizo namba ,Utashindana na Rais wewe?
Mkuu gari ya Waziri inajulikana kwa namba zake hazipo kumi zote zitumie namba moja.Ninaamini lina namba zake za kusajiliwa, wanatumia hizo kwa kampeni tu. Ni sawa na magari ya mawaziri. Kwa namba za Tanzania baada ya herufi T inafuatiwa na namba tatu na siyo nne na mwisho herufi tatu.
Yaishe Mkuu, nilikuwa natania tu. [emoji120][emoji120]Mkuu kwani kila anaegongwa na gari anakufa?
Me nadhan namba maalum n zle za serikali mfano kweny gar ya wazir mkuu raisi, mkuu wa jeshi, polic etc na namba binafsi n Kama zle za kina diamond, zari, mo hvyo yanHata mimi sikujua kuwa kuna namba binafsi na namba maalum. Mfano wake ni upi?
Kwa hio hizi No. Maalumu 'za kiserikali' sasa mtu binafsi anaruhusiwa kuzisajili sio?Me nadhan namba maalum n zle za serikali mfano kweny gar ya wazir mkuu raisi, mkuu wa jeshi, polic etc na namba binafsi n Kama zle za kina diamond, zari, mo hvyo yan