Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

Uchaguzi 2020 Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii ya T 2020 JPM?

Nimekuwa nikiona magari mengi tofauti yana namba za usajili T2020 JPM, nauliza je hii ni namba halali kwa magari haya?

Nimeona magari zaidi ya 10 yana namba hii. Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii?

Mfano limesababisha ajali nikienda polisi nikiwatajia namba hii watajua ni ipi kati ya hizo nyingi zinazotumia namba hii?

Cc: Mkuu wa usalama barabarani.
Katibu Mwenezi wa CCM Bwana Slowslow ni mwizi(Mwenezi) na Kibaka unategemea Nini?

Katibu Mkuu Bwana Bashiru(Bushiri )ni msanii na mcheza Bongo Fleva unategemea Nini hapo?

Magufuli amedanganywa na kudanganyika na hao watendaji wa Chama chake CCM. Magari yote ya Ikulu yakapigwa RANGI KIJANI na kubadilisha plate numbers kutoka ST-X na kuwa T2020 JPM.....!!!

Yaani Bashiru na Polepole uso wa nyani wanategemea kushinda Uchaguzi kwa mbwembwe za kitoto!!
Magufuli kwa hofu ya kushindwa Uchaguzi akakubali upuuzi huu wa kutumia RASLIMALI za Serikali kwene Kampeni zake hakika ni kuingizwa Choo Cha kike na itakula kwao.
 
Utapoteza muda wako. Wewe umeyaona kama kumi hivi kwa hiyo yapo zaidi ya hayo. Utakapokuwa unatoa taarifa utalitofautishaje hilo na yale tisa mengine?
hata mgombea udiwani wa CCM huku segerea plate namba ni hivo hivo kwahiyo siyo kwa msafara wa JPM tu
 
Mwambie asishindane nae kwa Nchi za Kiafrika Rais yupo juu kuliko hata Mungu si umeisikia ile video ya kimkakati mwanadada mwenzako alivyotamka ushindi wa CCM hauhitaji Mungu akipenda akipenda asipende ushind LAZIMA si ndio??

Ahaaaa ahaaaa, halafu eti wanasema kazi ya urais ni ngumu. Kazi ngumu wakati unaweza kufanya chochote na asitokee mtu wa kukuuliza chochote?
 
Kwahiyo likinigonga nisiende kuripoti?
Ninaamini lina namba zake za kusajiliwa, wanatumia hizo kwa kampeni tu. Ni sawa na magari ya mawaziri. Kwa namba za Tanzania baada ya herufi T inafuatiwa na namba tatu na siyo nne na mwisho herufi tatu.
 
Nimekuwa nikiona magari mengi tofauti yana namba za usajili T2020 JPM, nauliza je hii ni namba halali kwa magari haya?

Nimeona magari zaidi ya 10 yana namba hii. Inawezekana vipi gari zote hizi tena aina tofauti ziwe na namba hii?

Mfano limesababisha ajali nikienda polisi nikiwatajia namba hii watajua ni ipi kati ya hizo nyingi zinazotumia namba hii?

Cc: Mkuu wa usalama barabarani.
Think Tanks wa chama hicho wana matatizo, yaani wanashindwa kufanya mambo kwa kuheshimu sheria, hata kama hawajasajili basi wangetumia akili kwa kuyatofautisha namba kama CCM1, CCM2 nk..yote yameandikwa CCM, na sheria inasema huwezi kusajili magari 2 kwa namba inayofanana.

Ila naunga mkono hoja ya waliosema utakuwa jasiri sana kwenda kuripoti polisi😀😀😀
 
Ninaamini lina namba zake za kusajiliwa, wanatumia hizo kwa kampeni tu. Ni sawa na magari ya mawaziri. Kwa namba za Tanzania baada ya herufi T inafuatiwa na namba tatu na siyo nne na mwisho herufi tatu.

Kwa hiyo wakati wa kampeni sheria zinakwenda likizo?
 
Wana JF tunakwama wapi na sisi na magari yetu tumeshindwa kweli kulifatilia hili!.

Mie nilifatilia hii kitu kwa ajili ya kampeni za vyama vyote CCM na CDM ila usajili wa namba hizi ni mpaka upewe barua na vyama husika na kwenda kulipia TRA usajili huo.

Ila si sawa kwa magari yote kuwa na namba moja, na pia ukitaka kujua uhalisia wa namba ya gari tazama stika ya bima ina namba sahihi ya hiyo gari.

Na namba za JPM inatakiwa ikae juu ya namba za magari yaliyopewa namba hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninaamini lina namba zake za kusajiliwa, wanatumia hizo kwa kampeni tu. Ni sawa na magari ya mawaziri. Kwa namba za Tanzania baada ya herufi T inafuatiwa na namba tatu na siyo nne na mwisho herufi tatu.
Mkuu gari ya Waziri inajulikana kwa namba zake hazipo kumi zote zitumie namba moja.
 
Hata mimi sikujua kuwa kuna namba binafsi na namba maalum. Mfano wake ni upi?
Me nadhan namba maalum n zle za serikali mfano kweny gar ya wazir mkuu raisi, mkuu wa jeshi, polic etc na namba binafsi n Kama zle za kina diamond, zari, mo hvyo yan
 
Me nadhan namba maalum n zle za serikali mfano kweny gar ya wazir mkuu raisi, mkuu wa jeshi, polic etc na namba binafsi n Kama zle za kina diamond, zari, mo hvyo yan
Kwa hio hizi No. Maalumu 'za kiserikali' sasa mtu binafsi anaruhusiwa kuzisajili sio?

Kwa mfano hii:T 2020 JPM umaalumu wake unakua ni upi kulinganisha na hizo No. Binafsi.?
 
Back
Top Bottom