Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,747
Tunapita ndio lakin hakikisha pesa na nyumba, gari zinakupitiaWanakuambia duniani wanapita sasa unaweza je kua na kiwanja au makazi njiani?? hahahahaha
Sasa wewe hujuii faida ya kumilika ardhi ,kwa hapa dsm ....au unataka kusemaje..Awe na kiwanja ili agundue nini!? Akili ya mwafrika dah [emoji3]
[emoji28][emoji28][emoji28]kwa Sasa hapanaSwali ilo ilo litajirudia 2045, kwamba inakuaje mtu aliekuwepo DSM 2021 kukosa kiwanja.
Wewe unaona maisha ni ardhi tu? Si wanafanya mambo mengine?Sasa wewe hujuii faida ya kumilika ardhi ,kwa hapa dsm ....au unataka kusemaje..
Absolutelyhiyo jero ilikuwa ngumu kuipata pia, na hayo mapori unayo yataja hata sasa yapo mfano bagamoyo, msata, chalinze
Bagamoyo, Msata, Chalinze hakuna mapori ya bure. Yote watu wamejaa.hiyo jero ilikuwa ngumu kuipata pia, na hayo mapori unayo yataja hata sasa yapo mfano bagamoyo, msata, chalinze
Upo sahihi kabisaaa!!!Swali ilo ilo litajirudia 2045, kwamba inakuaje mtu aliekuwepo DSM 2021 kukosa kiwanja.