ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,860
Hayo mambo mengine yanafanyika juu ya ardhiWewe unaona maisha ni ardhi tu? Si wanafanya mambo mengine?
usitaje kujitenga na ardhi........
Hayo mambo mengine yanafanyika juu ya ardhiWewe unaona maisha ni ardhi tu? Si wanafanya mambo mengine?
Sidhanii mkuu, labda ungesema kipindi kile watu walikuwa waungwana hivyo bei ya viwanja haikuwa ikipanda kwa kasi sana hivyo watu walikuwa wame relax na pindi kipato kikianza kupanda kiasi cha kuweza kujenga ananunua kiwanja na kuanza kujenga tofauti na sasa unaanza na kiwanja hata kama hujui lini utaanza kujenga maana ukizubaa bei inakuwa mara 2 ya mwaka jana.Pesa ilikuwaa ngumu kwa kipindi hiko kama ambavyo ni ngumu kununua kiwanja mil 6 kwa Sasa hivi. Ndo ilikuwa ni aghali ku unua kiwanja kwa laki 1 kipindi hiko. So usiwatukane watu.
Mambo gani yasiyohusisha ardhi🤣🤣🤣🤣. Mambo yote lazima uwe na ardhi. Makazi, kilimo, ufugaji, teknolojia n.kWewe unaona maisha ni ardhi tu? Si wanafanya mambo mengine?
Labda Kwa walevi.Kujenga ni uhoga wa maisha
Mali tunazozimiliki sio kwa akili zetu ni kwa neema ya aliyepo juu. Unaweza kuta mtu yupo ofisini mshahara mzuri na hana kiwanja wala nyumba lakini ukamkuta muuza utumbo,fundi cherehani,muuza mihogo,konda wa daladala anamiliki kiwanja na kijumba cha room 2. Haya mambo ni kuweka dua ili Mungu akupe kibali kwanza na kufanya kazi. Ora et labora that goes the Latin maxim.Habari wakuu
Hapa nilikuwa naweka ligi ya mabishano, hivi inawezekana kweli watu walioingia mjini hapa 1992 mpaka leo 2021 Hana hata kiwanja cha kuzugia kweli, enzi hizo maeneo ya Tegeta, Goba, Kawe, Bunju ilikuwa mapori matupu unafika unafyeka nyasi na kujipa eneo mwenyewe....
Mbaya zaidi ulikuwa ukitaka hata kiwanja cha jero pale Ubungo unapata, Sasa mtu ananiambia kaja DSM 1992 lakini tunaganga njaa hapa, imenibidi nitafakari kidogo ....
Nimesikitika sanaa,...
Uzi tayari ...!
Kitafute utampa hata urithi mwanao kama ukishindwa kujenga.Mbona tupo born here here na hatuna hata kipande cha ardhi cha futi 6 kwa 6!
Tatizo liko wap? Mkinunua nyie inatosha [emoji3][emoji3]Mambo gani yasiyohusisha ardhi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mambo yote lazima uwe na ardhi. Makazi, kilimo, ufugaji, teknolojia n.k
Au hata uzeeni utakuwa unatafuta kodi kuwalipa wenye ardhi wakajenga?
Tatizo litakuwepo kama hutakuwa na makazi katika uzee wako, kama biashara/ajira yako itashindwa kukutunza katika uzee wako.Tatizo liko wap? Mkinunua nyie inatosha [emoji3][emoji3]
Kumiliki ardhi sio kwa Dar tu ni sehemu zote zina umuhimu kuliko kimiliki mke mzuri.Sasa wewe hujuii faida ya kumilika ardhi ,kwa hapa dsm ....au unataka kusemaje..
Ila ukifikiria ni kweli aisee.. ngoja nitafute eneo hata kama ni nje ya mji.Tatizo litakuwepo kama hutakuwa na makazi katika uzee wako, kama biashara/ajira yako itashindwa kukutunza katika uzee wako.
Ule umri wa 80's 70's au dharura ya disability (MUNGU akuepushe nayo) ukashindwa kufanya kazi ukajiingizia kipato ukaweza kulipa kodi ya eneo la biashara na makazi.
Kabisa mkuu. Hata 20 kwa 20 nje kabisa ya mji huko ukaweka kanyumba ka vyumba viwili msururu ka m5 incase of emmergency kisha ukaendelea na mapambano.Ila ukifikiria ni kweli aisee.. ngoja nitafute eneo hata kama ni nje ya mji.
Shukran sana nitafanya hivyo..Kabisa mkuu. Hata 20 kwa 20 nje kabisa ya mji huko ukaweka kanyumba ka vyumba viwili msururu ka m5 incase of emmergency kisha ukaendelea na mapambano.
Inategemea mkuu,jumamosi juzi Kuna jamaa nyumba yake ilikuwa inapigwa mnada baada ya kuachana na mkewe.Ikiuzwa atagawiwa vijipesa kidogo afu awe hana nyumba Tena.Ukikutana naye baadaye hana hata kiwanja.Mambo yanabadilika kwa kasi Sana.Habari wakuu
Hapa nilikuwa naweka ligi ya mabishano, hivi inawezekana kweli watu walioingia mjini hapa 1992 mpaka leo 2021 Hana hata kiwanja cha kuzugia kweli, enzi hizo maeneo ya Tegeta, Goba, Kawe, Bunju ilikuwa mapori matupu unafika unafyeka nyasi na kujipa eneo mwenyewe.
Mbaya zaidi ulikuwa ukitaka hata kiwanja cha jero pale Ubungo unapata, Sasa mtu ananiambia kaja DSM 1992 lakini tunaganga njaa hapa, imenibidi nitafakari kidogo.
Nimesikitika sanaa.
Uzi tayari ...!
Liverpool VPNInategemea mkuu,jumamosi juzi Kuna jamaa nyumba yake ilikuwa inapigwa mnada baada ya kuachana na mkewe.Ikiuzwa atagawiwa vijipesa kidogo afu awe hana nyumba Tena.Ukikutana naye baadaye hana hata kiwanja.Mambo yanabadilika kwa kasi Sana.