Inawezekana vipi mtu aliyekuja Dar es Salaam mwaka 1992 kukosa kiwanja?

Inawezekana vipi mtu aliyekuja Dar es Salaam mwaka 1992 kukosa kiwanja?

Habari wakuu

Hapa nilikuwa naweka ligi ya mabishano ,hivi inawezekana kweli watu walioingia mjini hapa 1992 mpaka leo 2021 Hana hata kiwanja cha kuzugia kweli ,enzi hizo maeneo ya tegeta ,goba ,kawe ,bunju ilikuwa mapori matupu unafika unafyeka nyasi na kujipa eneo mwenyewe ....

Mbaya zaidi ulikuwa ukitaka hata kiwanja cha jero pale ubungo unapata,Sasa mtu ananiambia kaja dsm 1992 lakin tunaganga njaa hapa ,imenibidi nitafakari kidogo ....

Nimesikitika sanaa ,...

Uzi tayari ...!
Kama hakutaka kuwa nacho, atakuwa nacho kivipi? Ni lazima mtu awe na kiwanja? Unajiuliza kwa waliokuja, vipi waliozaliwa maghorofani na mpaka sasa hawana mpango wa kuwa na viwanja, wako huko maghorofani, wanafia huko na pesa wanayo ya kumwaga.
 
Malengo yake yeye, na anavyojifariji ndio maendeleo, anataka watu wote wawe hivyo!!
Amekosea kusema kuja bila kuwa na kipato wezeshi cha kugharamia kiwanja. Wengi wanakuja ila kuna shughuli hazimuwezeshi kununua hata kiwanja kikiuzwa 100k
 
Habari wakuu

Hapa nilikuwa naweka ligi ya mabishano ,hivi inawezekana kweli watu walioingia mjini hapa 1992 mpaka leo 2021 Hana hata kiwanja cha kuzugia kweli ,enzi hizo maeneo ya tegeta ,goba ,kawe ,bunju ilikuwa mapori matupu unafika unafyeka nyasi na kujipa eneo mwenyewe ....

Mbaya zaidi ulikuwa ukitaka hata kiwanja cha jero pale ubungo unapata,Sasa mtu ananiambia kaja dsm 1992 lakin tunaganga njaa hapa ,imenibidi nitafakari kidogo ....

Nimesikitika sanaa ,...

Uzi tayari ...!
Inategemea interest ya huyo mtu
 
Hii trend itajirudia tena tena na tena...... manake akina marioo nao wapo bize wanatuambia bia tamu....
[emoji28][emoji28][emoji28]kwa Sasa dsm imejaaa ,huwezi kumlaumu mtu ....ila hawa wa 92 walikuwa wanashindwa kumilika hata kiwanja tegeta kweli ....
 
Mwaka 2000 baba yangu alinununua heka 1 kwa laki 5.kule kimara suka.
Juzi juzi tu kakata kipande kamuuzia tajiri aunganishe na kiwanja alichonunua kala milioni 10.tena amefanya Siri hakuniambia maana Mimi sikai nae angekuwa mjanja kipindi kile Sasa hivi angekuwa na hela nyingi sana
Mkuu huyo mzee wako ni kichwa Sana...
 
Habari wakuu

Hapa nilikuwa naweka ligi ya mabishano ,hivi inawezekana kweli watu walioingia mjini hapa 1992 mpaka leo 2021 Hana hata kiwanja cha kuzugia kweli ,enzi hizo maeneo ya tegeta ,goba ,kawe ,bunju ilikuwa mapori matupu unafika unafyeka nyasi na kujipa eneo mwenyewe ....

Mbaya zaidi ulikuwa ukitaka hata kiwanja cha jero pale ubungo unapata,Sasa mtu ananiambia kaja dsm 1992 lakin tunaganga njaa hapa ,imenibidi nitafakari kidogo ....

Nimesikitika sanaa ,...

Uzi tayari ...!
Kukaa karibu na Mahakama siyo kujuwa sheria
 
Inategemea na malengo yake labda yeye lengo lake ni kuishi Masasi kwao hapo amekuja 1992 kutafuta ela na kweli amezipata unakuta anakaa Masaki huku anajenga kwao Masasi au Mwanza na kila baada wiki kadhaa anakuwa anaondoka kwenda kucheck project zake zingine huko mkoa
 
Bado mtoto sana na hujui maisha, pia inaonekana ndio labda umekuja mjini, kukusaidia hebu soma hii nimeikuta sehemu nadhani itakusaidia wewe na wengine.

MAISHA HAYANA FORMULA LAKINI YANA SIRI NYINGI,,! CHUKUA HIZI 11, KAMA ZITAKUFAA

1. .SIRI YA KWANZA
Tengeneza connection na watu usitengeneze urafiki, Iko siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza Chakula Cha kula maana "kikulacho kinguoni kwako!", Siyo rahisi rafiki akakubali upate zaidi yake!

2. .SIRI YA PILI
Usimwamini sana rafiki yako ,kwa sababu huyo rafiki yako ana rafiki yake ambaye Wewe si rafiki yako!, Kama hunielewi subiri siku umseme bosi wako akurekodi halafu amrushie boss wako then boss wako ukurushie. Utatamani kufa

3. .SIRI YA TATU
Kuna njia tatu tu za kufanikiwa maishani. Njia hizo ni 1.bahati, 2.kipaji 3.bidii yenye akili!, Jitafute ulipo! Huna bahati, huna kipaji halafu unalala mchana?

4. .SIRI YA NNE:
Ukiwa na marafiki watano majambazi tegemea kuwa jambazi wa sita; ukiwa na marafiki watano wahuni tegemea kuwa muhuni wa sita, ukiwa na marafiki watano mabilionea tegemea kuwa bilionea wa sita; kasheshe ni masikini kumpata rafiki bilionea maana wahenga walisema ndege wanaofanana huruka pamoja.

5.SIRI YA TANO
Ukiona kila mtu anakurushia mawe usijifariji kwamba mti wenye matundo ndo unaopigwa mawe, kuna miti mingine inapigwa mawe kwa sababu ina nyoka!, Kikubwa jitathimini pengine wewe ni Mfalme mwenye mkia, ila hujauona.

6. .SIRI YA SITA
Kuwa makini sana na watu wanaosema tuko nyuma yako maana ukigeuka unaweza usiwakute Kama kivuli chako mwenyewe ikifika usiku kinakukimbia vipi huyo mtu asiyekula kwako?

7..SIRI YA SABA
Ili ufurahie maisha, jifunze kujinyenyekeza na siyo kujikomba!, Unyenyekevu ni kiwango cha juu kabisa cha matumizi ya akili, kujikomba ni kiwango cha chini kabisa cha matumizi ya akili! Moja ya madhara ya kujikomba ni kuishi maisha yako yote umepiga magoti!

8.SIRI YA NANE
Kabla hujafanya maamuzi jitahidi kupata ukweli wa jambo kutoka pande zote. Leo hii watoto wengi hawana mahusiano na baba zao kwa sababu ya kusikiliza ufundi wa mama zao katika kusimulia mabaya ya baba zao! Huyajui ya mama yako kwa sababu baba yako alichagua kuyaficha! Kama unamchukia baba yako hebu muombe msamaha kwanza halafu mwambie akusimulie ya mama yako ufe

9. SIRI YA TISA
Mlango mmoja ukifungwa usihangaike kuufungua, unaweza ubomoa bure. Pita hata dirishani maana kisicho riziki hakiliki! Asiyekupenda muache aende zake, tena mpe na nauli kabisa

10.SIRI YA KUMI
Hata kama umeishafika mbali kiasi gani, ukijua umepotea njia rudi kuliko kupotea jumla! Kuanza upya si ujinga. Bora uanze upya ufike salama kuliko kuendelea usifike

11. SIRI YA KUMI NA MOJA
Haijalishi umri umekwenda kiasi gani kama una ndoto kichwani amka ukaitekeleze kwa sababu umri ni namba tu na uzee ni hisia tu. Haijalishi mashavu yamelegea kiasi gani ukitimiza ndoto watayabusu tu.!

Imeisha hiyo.
 
Back
Top Bottom