Inawezekana vipi mtu aliyekuja Dar es Salaam mwaka 1992 kukosa kiwanja?

Inawezekana vipi mtu aliyekuja Dar es Salaam mwaka 1992 kukosa kiwanja?

unazungumza kwakua hujui enzi hizo zilikua za ujamaa
Hawa WATU wanaleta UTANI kabisa 👏🏽👏🏽! Hawafahamu kuwa kuna WATU walikuwepo DAR ES SALAAM tangu miaka ya sabini [ 1970's ] na walikuwa ni WATU wenye WADHIFA mkubwa sana kwa kipindi hicho, lakini waliondoka MJINI hata KIWANJA cha futi tano za mraba hawana.. 😁😁
 
Wahindi matajiri walikuja Miaka ya 1800 huko hawana viwanja wanaishi nyumba za kupanga katikati ya miji.mleta mada hilo unasemaje
 
Bila mitandao ya kijamii watu wengi hata sasa wasingekuwa hata na fikra ya kuwa na biashara let alone nyumba

Wengi sasa wanajenga na kufanya mengi kwa kupata akili na maarifa kutoka kwenye mitandao
Biashara zimeongezeka zaidi kwa kuiga na watu pia wananunua viwanja kwa kuona wengine wakiweka plan zao na mpaka gharama zake zote
Kwa hiyo unakuta mtu nae anajipanga na kujenga

Zamani kujenga ilikuwa vigumu sana ila kama mradi pagala la kulala tu wengi walijenga hizo
Mitandao imesaidia kiasi mtu anadiriki kukuuliza hivi hujajenga bado [emoji23][emoji23]
 
Hawa WATU wanaleta UTANI kabisa [emoji1433][emoji1433]! Hawafahamu kuwa kuna WATU walikuwepo DAR ES SALAAM tangu miaka ya sabini [ 1970's ] na walikuwa ni WATU wenye WADHIFA mkubwa sana kwa kipindi hicho, lakini waliondoka MJINI hata KIWANJA cha futi tano za mraba hawana.. [emoji16][emoji16]
Na baada ya 90 wakaaza kujaa mjin hapo ma house boy majukumu kukata majani mifugo ile na house girl .....tokalini Hawa watu wajue umuhimu ardhi
 
Na baada ya 90 wakaaza kujaa mjin hapo ma house boy majukumu kukata majani mifugo ile na house girl .....tokalini Hawa watu wajue umuhimu ardhi
Na walivyopata PESA kidogo, wakakimbilia kununua MIKWECHE! Sasa hivi hawana kitu, halafu wanafikiri WATU wote wameishiwa..😂😂😂
 
na weww mwanao atakujaa na uzi kama hii
Mimi sina HIYANA na WALIMWENGU! Ndio maana kila siku nazidi KUNAWIRI kama SHINA LA MGOMBA. Upo hapo!!

ba645ace350c94f9c41b52603cd25bba.png

​
Hiyo ni tuzo nyingine yaani CERTIFICATE OF EXCELLENCE ya Mash East Africa kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI.

cef39d0460895329776aa6da69b0a27b.png

​
Na tumefanikiwa kufungua OFISI KUBWA ya Mash East Africa inayopatikana NAIROBI ukiachana na ile inayopatikana mwambao wa BAHARI YA HINDI, yaani kule MOMBASA.

b3baa34164ba3b4a4a9d21ee97d43d6a.png

​
Na ni jambo la kumshukuru MWENYEZI MUNGU na INSHA'ALLAH tunaendelea na WEMBE ule ule 😂😂😂

085b90aeebea69a790974a6beb11a8c0.png

​
Ukiwa KENYA, UGANDA na RWANDA, naamu usafiri SALAMA na UHAKIKA ni Mash East Africa.

acb817cb00b3cb617df5fc7b269ce21e.png

Huduma za usafirishaji wa MIZIGO, VIFURUSHI na BAHASHA pia zinapatikana na zinafika mpaka UANI kwa MTEJA. Siku hizi hakuna haja ya kwenda kusubiri MIZIGO kwenye vituo vya mabasi.

bf2af90bae05eab6e23afd53e2f33607.png

Pia tumefanikiwa kufungua KIWANDA CHA MAJI YA KUNYWA kinachoitwa MASH POA PURE DRINKING WATER, hiki KINYWAJI kilikuwa ni mahususi kwa ABIRIA wa Mash East Africa lakini tumeona ni vyema tutengeneze BUSINESS BRAND itakayofanana na bidhaa za COCA COLA.

IMG_20221023_123827.jpg

​
Hiyo ndio SIMBA!! Kukwama sio leo, labda kwa kudra zake MWENYEZI MUNGU na INSHA'ALLAH tutakiane mema kwani sote ni WAJA wake.
 
Back
Top Bottom