haha
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 1,400
- 1,640
Mbona mingi sana hiyo!?Kuna jamaa zangu wamebakiza miaka kumi na nne [ 14 ] kazini na hawana hata dalili za kumiliki VIWANJA [emoji23][emoji23]
Mbona mingi sana hiyo!?Kuna jamaa zangu wamebakiza miaka kumi na nne [ 14 ] kazini na hawana hata dalili za kumiliki VIWANJA [emoji23][emoji23]
Aisee inabidi kuepuka FEDHEHA angali ni KIJANA!Pia wewe utaulizwa mwaka 2045, kwamba inakuaje huna kiwanja DSM??
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Huwa wanasema hivi DUNIANI 🌎 sote ni wapitaji, lakini wale tunaowaacha hawatakiwi kupata TAABU.Na Hawana Hofu Yoyote
Tunatishana Sana Ndugu Zangu
Hofu Ni Mbaya Sana
Hongera sana, 2016 Sinza daa hongera sana.Mimi ninamshukuru MWENYEZI MUNGU, mwaka 2016 nilifanikiwa kupata PLOTI nyingine pale SINZA - KIJIWENI barabarani kabisa. Na COVID-19 ikipungua nitarudi DAR kwa ajili ya kurekebisha mawili matatu ili nipangishe BENKI [emoji1431][emoji1241][emoji1431]
Asante 🙏🏽 Asante 🙏🏽Hongera sana, 2016 Sinza daa hongera sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hao ndio masela wa kipindi hiko, ni kuwakata makofi tu hao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe we ni Tajiri kiasi hicho. Kumiliki ardhi sinza ni mamilioni ya pesa. Nipe mchongo mkuuMimi ninamshukuru MWENYEZI MUNGU, mwaka 2016 nilifanikiwa kupata PLOTI nyingine pale SINZA - KIJIWENI barabarani kabisa. Na COVID-19 ikipungua nitarudi DAR kwa ajili ya kurekebisha mawili matatu ili nipangishe BENKI [emoji1431][emoji1241][emoji1431]
Ni kweli itaendelea kujirudia mwaka Hadi mwaka. Hapa Iringa ukishuka kidogo tu mbele ya Kalenga unapata Eka nzima kwa laki 5. Nikipapimia miaka 20 - 30 ijayo, ni sehemu ambayo utakuwa mji mkubwa Sana. So ni pazuri pa kujiwekea maekariHii trend itajirudia tena tena na tena...... manake akina marioo nao wapo bize wanatuambia bia tamu....
Kuna aliyewahi kuwa MBUNGE WA VITI MAALUM - CCM ⚒️ kwa miaka kumi [ 10 ] kipindi fulani nilimkuta pale BENKI YA NMB - MAKUFULI, MWANZA kama BANK TELLER 🙏🏽🇹🇿🇹🇿🙏🏽.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duuuh
Sikiliza kwanza hiyo NYIMBO #BiaTamu[emoji1431][emoji1241][emoji1241][emoji1431]
Daaaahhhh[emoji119]Swali ilo ilo litajirudia 2045, kwamba inakuaje mtu aliekuwepo DSM 2021 kukosa kiwanja.
anaishi kwa nani sasaWakuja? Njoo umuone babu yupo hapa mpaka leo ana miaka 77 mzaliwa wa hapa na hana kiwanja wala kibanda cha chumba 1
Eeh kwakweli, itakua ngumu! KhaaaHabari wakuu
Hapa nilikuwa naweka ligi ya mabishano, hivi inawezekana kweli watu walioingia mjini hapa 1992 mpaka leo 2021 Hana hata kiwanja cha kuzugia kweli, enzi hizo maeneo ya Tegeta, Goba, Kawe, Bunju ilikuwa mapori matupu unafika unafyeka nyasi na kujipa eneo mwenyewe.
Mbaya zaidi ulikuwa ukitaka hata kiwanja cha jero pale Ubungo unapata, Sasa mtu ananiambia kaja DSM 1992 lakini tunaganga njaa hapa, imenibidi nitafakari kidogo.
Nimesikitika sanaa.
Uzi tayari!