nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,127
- 1,840
Tanga wameelimika sana tu, ila tatizo ni mzunguko mdogo wa fedha. ukiwa ardhi kwa bei gali fedha zake hazitarudiBagamoyo, Msata, Chalinze hakuna mapori ya bure. Yote watu wamejaa.
Labda Tanga ndio watu hawajaelimika.
Heka moja walikuwa wanauza laki 1.
Na Sasa hivi wameshtuka