Inawezekana vipi Taifa linampata Rais kama huyu?

Mkuu mimi si shabiki wa huyu mama lakini ukweli lazima usemwe.
Umemlisha maneno.
Hakuna mahali amesema yeye kama raisi anatoa vibali vya mikutano.

Mkosoe kwa makosa yake si mambo ya kuzusha.
Msikilize hapo mwanzo.Anasema "anaeongoza nchi"

Anaeongoza nchi ni Rais
Your browser is not able to display this video.
 
Kwani kawasingizia ? Kasema kweli tupu. Mnataka muanze kumpelekesha Kama ilivyokua kwa kikwete ?
Hakuna kufurukuta mkae mtulie. Si hamna ustaarabu.
 

Shida kweli kweli hawafahamu kiswahili nao
 
Daah! Kweli watanzania ni makondoo
 
NDIYO YAMETOKEA.....TUMWACHIE MUNGU
 
Tumpeni heshima yake stahiki Mh. Rais. Sasa kama hamuyataki hayo mbona huwa mnaomba kibali jeshi la polisi?
 
Lengo la chama chohote ni kuingia ikulu
Sasa ndio mvunjie watu magari na kufanya vurugu ...

Halafu nyie vishabiki maandazi ndio wanawaweka front line ili mvunjwe ugoko Vizuri 🤣 wamiliki wa chama na familia zao wanakimbilia nje ya nchi muwe na akili baasi 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…