Inawezekana vipi Taifa linampata Rais kama huyu?

Nilikuwa naona hayati Magu rais wa hovyo kutokea nchi hii, sikujua ya ajaye. Ukiacha udikteta wake lakini alikuwa anajua asemalo
Sasa kwa bi Hangaya kudai vyama vya upinzani huwa vinafanya fujo wakitoka mikutano yao basi yeye au Mchengerwa atueleze ni lini na wapi kulitokea hizo fujo za kufikirika siyo porojo za Zerro.
 
Lugha kama hizi ndizo zitaendelea kuwasweka ndani na mtalialia kwenye mitandao hadi muwe na adabu na akili.
 
Fanyeni mnachoweza tuone sasa seems mna jeuri Sana na itawaponza.
 
Msikilize hapo mwanzo.Anasema "anaeongoza nchi"

Anaeongoza nchi ni Rais.
View attachment 2045214
Kikawaida ukitaka kujua maana ya hotuba nzima, ni vema kusikiliza hotuba yote na kupata tafsiri yake. Nadhani unajaribu kutafuta unachotaka ili kudhihirisha unachokisema wewe. Kunaneno anasema "anaongoza nchi...." Kuna kituo, akaendelea na sentensi. Maana yake nyuma ya neno hilo pana maneno mengine ambayo hujayaweka.

Ebu watanzania, inasaidia nini, kutaka tu kutengeneza jambo ili kuonesha fulani ni mbaya. Kwanini tumefikia huko? Kwanini hatuji na hoja ambazo zitaijenga Tanzania na si kutafuta vitu vidogo vidogo kuvikuza ili kuharibu image ya Rais.
Nilistuka sana niliposoma heading yako.

Lakini hata hicho unachotaka kukimaanisha, nikueleze kwa ufupi. Rais ndiye top wa viongozi wote katika Jamhuri ya Tanzania. Hivyo kwa sheria mbalimbali Rais ukasimu madaraka yake kwa viongozi mbalimbali walioteuliwa au kuwa katika mfumo wa utumishi wa Umma.
Hasa sheria za usalama wa nchi hizi japo zitashughulikiwa na wateule wa Rais, au watumishi wengineo wa Umma, zina mamlaka ya Urais. Ndiyo maana kila wilaya na Mkoa zinakamati ya Ulinzi na Usalama. Taarifa za hii kamati uenda moja kwa moja kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Taifa. Ambayo hii mara nyingi ni wakuu wa vyombo vya usalama na Rais pekee na sekretarieti.
 
Lema waziri wa fedha
 
Yaani hawa waingie Ikulu ? Haiwezekani
 
Amesema kweli tupuu. Tunawajua saana.
Tatizo mnataka Kila rais mumpelekeshe pelekeshe kwa jina la demokrasia na uhuru
 
Amedanganywa na yule mzee mwongo mwongo anayetawala kikundi cha watu wanaobambikia watu kesi.
 
Hata iweje mke wa Amsterdam hawezi kutawala Tanzania
Mbona unajibu vitu tofauti na mada? Ila kama tulikuwa na mtu kama Jiwe, baadae ndiyo huyo aliyepo so sidhani kama ni sahihi kushangaa ccm kuwa na mwanachama kama wewe eti unakipambania chama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cccm ccm hebu kuweni serious basi, hata jambo dogo tu mnafeli kuchagua mtu sahihi, angalia mtu kama huyu jamaa, dah tumepigwa kweli kweli
 
Watafuta maridhiano hao.....
 
Kwa kauli hii Rais wetu na Amiri Jeshi Mkuu amenifurahisha Sana...hongera Rais...uwe imara namna hii...
 
Acha upumbavu dada....

Rais ndiye mlinzi wa KWANZA wa amani na UTULIVU wa nchi.....unataka jukumu hilo akuachie wewe?!!!!!

Kwa hiyo kukitokea KICHOCHEO cha kuiharibu amani unataka AFUNGE MDOMO?!!!

Siasa zenu haziwasaidii wala kulisaidia taifa........
 
Sasa mtu kama wewe hata chauma hupati kadi, labda ccm ndiyo wanachukua watu kama wewe.
 
Huwezi kumpa MUDA wa kutawala WEWE NA NANI ?!!!!

Usitushirikishe katika UCHIZI WAKO na PTSD zako......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…