Inawezekana vipi Taifa linampata Rais kama huyu?

Samia hana mamlaka ya kuruhusu au kukataza mikutano ya vyama vya siasa.Mikutano kwa vyama vya siasa ipo kwa mujibu wa katiba yetu na sheria zetu na wala siyo kwa mujibu wa Samia.
 
Raia Kama wewe anayemkashifu, kumtukana na kumdhihaki Rais was nchi hapaswi kuheshimiwa na kwa kweli anapaswa kushughulikiwa na vyombo vya dola vya nchi yetu kwa mujibu wa taratibu zilizopo....
 
Raia Kama wewe anayemkashifu, kumtukana na kumdhihaki Rais was nchi hapaswi kuheshimiwa na kwa kweli anapaswa kushughulikiwa na vyombo vya dola vya nchi yetu kwa mujibu wa taratibu zilizopo....
Rais yupi?Kwani Tanzania ina Rais?Umechanganyikiwa?Rais aliewekwa madarakani na mapolisi ndiye unamwita kuwa ni Rais wa nchi?
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Shahahahahahahahahaha yaani nimecheka sana kidogo nipaliwe..

Nahisi huyu mama akipelekwa vzr hana tabu sana sema wapinzani hawajamjulia! Yaani anahitaji timing Fulani hata jana CHADEMA ilibidi tu wawepo ili wapate kumleta taratibu sema tatizo siasa za jazba ndo zinawakost
 
We chama unacho bhana,mahabba hayajawahi kujificha
 
Hv ww mtaalamu feki wa kiswahili "kibari"ndyo nn???,
 
Magu lazima Yuko motoni
 
Ndugu yangu sheria uwa haisomwi moja ukang'ang'ana na hiyo hiyo. Soma walau Sheria za jeshi la Polisi, elewa wajibu wajeshi hilo. Soma katiba ya nchi. Na sheria zingine za usalama wa nchi. Ndipo utaelewa taratibu jeshi la polisi kuwa na mamlaka hayo unayosema.
Hv ww mtaalamu feki wa kiswahili "kibari"ndyo nn???,
Uelewe kuna typing error! Maake hata weye hizo abbreviation ulizotumia si halali katika kiswahili. Hilo tu ndo umeona! Ha ha ha! Ok sema jingine.
 
Au huwa unaandika bila kusoma????
 
Onyesheni ukomavu wa kisiasa, ustaarabu. Mikutano ni haki yenu. Hayo ni maneno ya msingi yaliyobeba maudhui ktk hotuba ya Rais. #Political maturity, haki na wajibu (Ustaarabu wa kutumia na kutii sheria na taratibu). Litarature hiyo ukisikiliza au kusoma lazima utulize kichwa.

Hayo yako mengine ndiyo uthibitisho wa kukosa ustaarabu kwenyewe.
 
Au huwa unaandika bila kusoma????
Tambua kuwa kiswahili kina rahaja karibu 8. Na zote uongewa Tanzania hii,Kenya , Uganda, na hata Congo. Sidhani nikosa kubwa kiasi hicho ulivalie njuga.

Pia katika lugha yoyote ulimwenguni kuna kitu kinaitwa common mistakes. Kuna makosa ya kawaida ktk uongeaji au uandishi wa lugha yoyote. Makosa hayo hayapotoshi maana, ila yaweza tokana na mazoea au rahaja kutoka maeneo tofauti.

Pia katika uandishi wa kiswahili hatuna alama za kuuliza zaidi ya moja unapoandika kiswahili. Hivyo ulichoandika hapo na kuweka alama ya kuuliza zaidi ya moja ni kosa kiuandishi. Au unazipenda hizo alama?
Nimecheka sana alama za kuuliza....kuwa zaidi ya moja. Language error.
 
Thank you. Umenena vyema Sana. Asipokuelewa hapa basi tena, atakua na hamu ya virungu na mabomu ya machozi.
 
Ww hakuna kitu kinachoutwa rahaja ktk kiswahili we nguchiro
 

Wilderness Voice sheria ya vyama vya siasa iko very clear ndugu kama nilivyofafanua kwenye hoja uliyoikwoti kwa jibu lako hili

Sheria hiyo imeeleza jukumu la polisi kwa uwazi. Sheria ya Jeshi la Polisi iko considered...

Kama Polisi wanafanya vinginevyo, wanapingana na sheria na ndiyo maana kuna mgogoro huu unaoendelea sasa kati ya Polisi vs vyama vya siasa hasa vya upinzàni vs Political Parties Registrar

In reality, ktk situation hii, tatizo wala hata siyo sheria tena. Tatizo ni UBABE WA DOLA kukibeba chama kinachoongoza serikali yaani CCM ili kising'olewe..

Swali nini hili, unadhani kwa kutupa na kukanyaga sheria, katiba na HAKI za kisheria na kikatiba za watu kutaendelea hadi lini na waovu hawa wakaendelea kuwa salama...??
Uelewe kuna typing error! Maake hata weye hizo abbreviation ulizotumia si halali katika kiswahili. Hilo tu ndo umeona! Ha ha ha! Ok sema jingine.
 
Kibibi cha kiarabu hata sijuhi CCM wamekiokota wapi, kinapuyanga tu .
Nchi ya Nyerere imepatikana

Raha ya kuvamia nchi Za watu, Mumelikoroga sasa mtalinywa

Msikilize babu yenu Laanatullahi Nyerere Na maneno yake
 

Attachments

  • VID-20211216-WA0019.mp4
    16.2 MB
Kibari #### kibali.
 
Raha ya kuvamia nchi Za watu, Mumelikoroga sasa mtalinywa

Msikilize babu yenu Laanatullahi Nyerere Na maneno yake
Kumwita Nyerere laanatullah nakataa, na ukome kabisa kabisa.

Kibibi cha kiarabu ndio Laanatullah.

Nyerere alikua mtu sana, na alipenda Afrika iwe moja. Kama kuna alipokesea ni ubinadamu wakawaida,
Hizi zilizo baki huko CCM ndio MAHAYAWANI .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…