Inawezekana vipi Taifa linampata Rais kama huyu?

Nikuombe kama unania dhahiri za kujifunza na kuielewa nchi yako hasa ktk maswala ya usalama. Nenda kwa mwanasheria ambaye hana ushabiki wa chama.Atakufafanulia sheria za usalama. Atakueleza unaposoma sheria, kuna kanuni zake na miongozo. Usishikirie kitu kimoja na kung'ang'ania.

Pia mtafute mtu mwenye uzoefu serikalini, ambae anajua utendaji kazi na taratibu za maswala ya usalama. Fika ofisi za Mkuu wa Mkoa, au kwa DC au ofisi za usalama. Wambie unahitaji kufahamu abc za maswala ya usalama hasa linapokuja suala la vyama vingi na mikutano.
Kuna vitu vingine havihitaji kubishana. Ni kufanyia utafiti ili kujua kipi ni kipi. Shida Tanzania tunapenda kubishana mtandaoni lkn tafiti hatutaki fanya.
Kubishana hapa haita tusaidia. Kila mtu atajifanya anajua. Ha ha ha!
 
Ni michongo tu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kana sheria za Tanzania zinaruhusu mikutano bas mkafanye iyo mikutano sasa unaongea pumba gan apa

Au aujui nn unaongea mnajifanya wababe mmevulugwa wakat mlikaa zaid ya 6 miaka bira mikutano ya hazala
 
Utawala wa huyu Mzanzibar utasababisha hata ccm wenyewe waone umuhimu wa katiba mpya. Wasipofanya hivyo Zanzibar wana njia rahisi sana ya kutawala Tanzania. Wataacha Mtanganyika ashinde uchaguzi then akifa wao wanamalizia awamu
jinga wewe. kama hutaki jamhuri ya muungano nenda burundi.
 
Huko CCM huwa hakuna mwenye akili,wote ni Ntabani tu .Wakitoka madarakani ndo akili huwarudia kama maji kijijini kwa akina Kirikouu.Pinda Sasa anafuata nyayo za Mkapa akidai katiba mpya.Yeye Pinda anadai time huru ya Uchaguzi.
 
Jamaa wanosimama nyuma yake wanamrisha ugoro bi mkubwa. Maskini anajua yeye ndio mtoa vibali, Dah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ