Inawezekanaje (baba)Laurent Kabila atofautiane kimtazamo na(mwana) Joseph Kabila?

musicarlito

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2020
Posts
368
Reaction score
556
Habari wakuu

Laurent Kabila alikataa kuwatambua Banyamulenge na watutsi wengine kama raia wa Congo kiasi alisema mkataba waliokubaliana ulikuwa wa vichochoroni

Jana Joseph Kabila anamlaumu Tschekedi kukataa kuwatambua watutsi na Banyamulenge

Hii imekaaje?
 
Kabila junior ni mtutsi, mzee alimuoa mama yake akiwa kashazaliwa na baba yake alikuwa partner wake kibiashara
 
Joseph siyo mtoto wa Laurent, Baba yake ni Kabange
 
One word, politician
 
Uzi humo humuhumu! Unaohusu hiyo histori ya Laurent Kabila na Joseph Kabila kimsingi Kabila(Joseph) ni mtusi na alishiriki kikamilifu vita vya RPF ya Kagame na akiwa kama dereva wake Kagame tafuta huo uzi humu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…