Inawezekanaje (baba)Laurent Kabila atofautiane kimtazamo na(mwana) Joseph Kabila?

Inawezekanaje (baba)Laurent Kabila atofautiane kimtazamo na(mwana) Joseph Kabila?

Uzi humo humuhumu! Unaohusu hiyo histori ya Laurent Kabila na Joseph Kabila kimsingi Kabila(Joseph) ni mtusi na alishiriki kikamilifu vita vya RPF ya Kagame na akiwa kama dereva wake Kagame tafuta huo uzi humu!!
Sawa sawa natumesaidia sana kuweka taarifa vzr
 
hata mimi ningewakataa watutsi congo ningewarudisha Rwanda ambapo Rais wao kayibanda aliwatoa watutsi kama laki na kuwapeleka kweny nchi za watu. Vita vyao vya wahutu na watutsi ndo imepelekea huku ambayo vita hivyo vimesababishwa na mkoloni mshenzi mbelgiji.
 
Time inaenda
 
Attachments

  • 1740373687074.jpg
    1740373687074.jpg
    279.6 KB · Views: 1
Uzi humo humuhumu! Unaohusu hiyo histori ya Laurent Kabila na Joseph Kabila kimsingi Kabila(Joseph) ni mtusi na alishiriki kikamilifu vita vya RPF ya Kagame na akiwa kama dereva wake Kagame tafuta huo uzi humu!!
Duh, alikua dereva!?..tusipeleke jeshi letu huko, utoto,lazima muuzwe kwa adui
 
Habari wakuu

Laurent Kabila alikataa kuwatambua Banyamulenge na watutsi wengine kama raia wa Congo kiasi alisema mkataba waliokubaliana ulikuwa wa vichochoroni

Jana Joseph Kabila anamlaumu Tschekedi kukataa kuwatambua watutsi na Banyamulenge

Hii imekaaje?
Haijakaa sawa kabisa
 
Back
Top Bottom