ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,719
- 14,506
Huyu jamaa,amezeeka fastafasta.Picha ya kwanza Olivie lemba mke wa JKK ,kulia ni Janette Kabila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa,amezeeka fastafasta.Picha ya kwanza Olivie lemba mke wa JKK ,kulia ni Janette Kabila
Namjua yupo southOk,mdg wa hao mapacha unamjua ?
Ni stepfather wake, everyone knows that.Wakapime DNA pengine c mtoto wake ni wa kusingiziwa
Kumbe inajulikanaNi stepfather wake, everyone knows that.
Aliishi Dar, nasikia ilikuwa kitaa cha namanga. Ni kweli hio?Kabila junior ni mtutsi, mzee alimuoa mama yake akiwa kashazaliwa na baba yake alikuwa partner wake kibiashara
Sasa mbona mzee msingiziwa amekufa zaidi ya miaka kumi ilopita, je inawezekana kufanya dna test. Au?Wakapime DNA pengine c mtoto wake ni wa kusingiziwa
Sababu ndio Baba yake halisiMbona baada ya kuzeeka anaanza kumfanana laurent
Itakua kweli.. hizi story zingine za vijiweni sio..Sababu ndio Baba yake halisi
Ndugu si wapo?Sasa mbona mzee msingiziwa amekufa zaidi ya miaka kumi ilopita, je inawezekana kufanya dna test. Au?
friendsofthecongo.org
MBOKA NA NGAIKabila si mcongo , ni mtutsi yule , na kuna hadi documentary DW inaeelezea Kwa kina chimbuko na historian ya machafuko Congo huyu Jose kabila na baba yake wa kambo walishiriki chini ya AFD enzi hizo ambayo ilikuwa ni mkusanyiko wa vikosi vya kijeshi vya watutsi wa RPF ya akina Kagame ,vikosi vya Uganda chini ya Museveni na waasi wa jeshi la Congo kwenda kumtoa Mobutu madarakani kwa kisingizio kwamba Mobutu ni dikteta na anawahifadhi FDRL au wauwaji wa kimbari wenye asili ya Kihutu kule Rwanda waliokimbilia Congo aka Interahamwe
Na hawa washenzi walifanya Genocide mbaya sana huko kwenye misitu ya Congo dhidi ya kabila la wahutu kutoka Rwanda waliokimbia baada ya RPF kuchukua nchi baada ya kifo cha Habyarimana .
Si kweli kwamba FDRL wote ndio waliokimbilia huko misituni Congo ,Kwa kiasi kikubwa wengi walikuwa ni rais wa kawaida wa Rwandan wenye asili ya Kihutu .Kagame ,Museveni na Puppet wao mzee kabila chini ya AFD walifanya Genocide kubwa mno nayo mpaka leo imefichwa na actually UN report walishatoa report ya hii Genocide iliyofanywa na hawa wahima akina Kagame na Museveni huko Congo ,hawa washenzi ni war criminals ,wanafaa kunyongwa kabisa ,ni vile tu tunaishi kwenye dunia ya unafiki na ukosefu wa haki
Hii report ya UN imekuwacompiled na real testimonies za watu waliokutwa na hayo masaibu na evidences za on ground investigators ,waliua saba watu na ilifikia kipindi mpaka wakaanza kuua wacongo wengi pia ambao hata walikuwa sio wahutu , ilikuwa ni genocidal campaign against non Tutsis huko Congo ,na walibaka ,wakaharibu mali total scorched earth policy ulifanywa na watutsi miaka hiyo huko Congo na ndio vizazi vya hawa hawa mabazazi wanarudi kumchomoa Tshisekedi kutoka madarakani kwa mwavuli wa Congo River alliance ambayo ni mkusanyiko wa vikundi vya wahasi mamluki ,wakiwamo M23 na majeshi ya Rwanda chini ya RPF ya Kagame na UPDF ya Museveni ya Uganda ,yaani kwa mtu anayesoma historia Kwa kina anaona kabisa picha ile ile ya yaliyotokea nyuma inaenda kutokea tena wakati huu.
Nawaomba muisome kwa kina ,mtaelewa ni kwa nini hawa washenzi wameendelea kuloot Congo na kusababisha uharibifu huu miaka yote hii
Hii report ni very deep na inaelezea kila kitu kuhusu involvement ya hawa madikteta akina Kagame na mjomba wake Mseven Congo
UN mapping report ,na imetoka muda sana
Huyu haitwi Joseph anaitwa Hypolite Christopher Kanambe alizaliwa 04.6.1971 kijiji cha Hewbira kivu kusini. Baba yake mzazi aliitwa Christopher kanambe mtusi wa Kivu kusini, alimsaidia kabila kumtoa Mobutu pamoja na wanyamulenge askari qa kivu, Christopher alikua askari na swahiba sana alikua wa mzee Kabila, alipouawa ndipo mzee Laurent kabila alimuoa mama yake alietwa Marcellina Mukambukuje na kumkuta na mtoto wakambadili jina akawa josephKabila junior ni mtutsi, mzee alimuoa mama yake akiwa kashazaliwa na baba yake alikuwa partner wake kibiashara