Inawezekanaje (baba)Laurent Kabila atofautiane kimtazamo na(mwana) Joseph Kabila?

Kajificha wapi wakati tupo naye humu humu bongoland.. na baada kaka yake kuwa rais yeye alikataa kurudi congo (labda kama alikuja kukubali baadae)... wale ni kwamba tu walizaliwa huko congo sijui rwanda ila maisha yao kwa kiasi kikubwa yapo huku bongo.. hata mijengo pia wanayo huku
Unajiita easy e halafu huna ukimwi,we ni bwege
 
Unajua kilichoulizwa lkn ? Swali lilikua Muzee Kabila na Muzee kanambe walikua na biashara Gani huko porini? Khs Kabila labda mie ndio nikuambie usiyoyajua ila wewe utaniambia uliyoyasoma na kuhadithiwa
Mzee kanambe na kabila walikuwa wanadeal na biashara ya madini. Na mzee kanambe nae alikuwa ni wale wakimbiz wa kitutsi waliofukuzwa wakat wa genocide ya kwanza. Niliisoma mahali kutoka mdogo wake kabila ambae ndie mtoto halisi wa kabila mzee. Huyu kabila junior wapo mapacha na dada yake
 
Hahahaha, ujue wewe unasoma mie niko in
 
Mzee kanambe na kabila walikuwa wanadeal na biashara ya madini. Na mzee kanambe nae alikuwa ni wale wakimbiz wa kitutsi waliofukuzwa wakat wa genocide ya kwanza. Niliisoma mahali kutoka mdogo wake kabila ambae ndie mtoto halisi wa kabila mzee. Huyu kabila junior wapo mapacha na dada yake
Ok,mdg wa hao mapacha unamjua ?
 
Back
Top Bottom