Inawezekanaje (baba)Laurent Kabila atofautiane kimtazamo na(mwana) Joseph Kabila?

Inawezekanaje (baba)Laurent Kabila atofautiane kimtazamo na(mwana) Joseph Kabila?

Attachments

  • Screenshot_20250226-150303.jpg
    Screenshot_20250226-150303.jpg
    224.2 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250226-150334.jpg
    Screenshot_20250226-150334.jpg
    307.8 KB · Views: 1
Habari wakuu

Laurent Kabila alikataa kuwatambua Banyamulenge na watutsi wengine kama raia wa Congo kiasi alisema mkataba waliokubaliana ulikuwa wa vichochoroni

Jana Joseph Kabila anamlaumu Tschekedi kukataa kuwatambua watutsi na Banyamulenge

Hii imekaaje?
  • Some of Kabila’s many detractors claimed he was born in neighboring Tanzania, which would have made him a citizen of that country rather than DRC.
  • Joseph Kabila’s mother was Mama Sifa Mahayana, who some have claimed was Rwandan rather than Congolese.
  • Others even claimed that Joseph was not Laurent’s biological son, but no conclusive evidence has been furnished on this matter. Still other critics went so far as to say that he was really a taxi driver from Tanzania with no Congolese ancestry
  • The facts about Laurent D. KABILA and the son Joseph Kabila are Perplexing
 
Nasikia mzee kabila alimuua na kumtosa ziwani wakirudi toka mapambano,halafu akamuoa mjane wake,akaasili na watoto wake mapacha, joseph na dadaake anayefichwa kama bangi
Kajificha wapi wakati tupo naye humu humu bongoland.. na baada kaka yake kuwa rais yeye alikataa kurudi congo (labda kama alikuja kukubali baadae)... wale ni kwamba tu walizaliwa huko congo sijui rwanda ila maisha yao kwa kiasi kikubwa yapo huku bongo.. hata mijengo pia wanayo huku
 
Acha kudanganya Mkuu, Jannet hajawahi kufichwa popote pale,nijusaidie tu ana nyumba ,Masaki Dar es Salaam,acha uongo ,Janet amekua Hadi mbunge afichwe na nani na iweje ?
Watoto wa msasani... kamati ya laurent na masela wake ya kumuondoa mobutu maskani yao mara nyingi ilikuwa msasani..
 
Habari wakuu

Laurent Kabila alikataa kuwatambua Banyamulenge na watutsi wengine kama raia wa Congo kiasi alisema mkataba waliokubaliana ulikuwa wa vichochoroni

Jana Joseph Kabila anamlaumu Tschekedi kukataa kuwatambua watutsi na Banyamulenge

Hii imekaaje?
Kwamba ni lazima Baba na mtoto kuwa na mtazamo sawa au
 
Kabila junior alikuwa anasimamia biashara ya malori ya baba yake kwa wale wa njia ya mbeya miaka hiyo wanamjua
Unajua kilichoulizwa lkn ? Swali lilikua Muzee Kabila na Muzee kanambe walikua na biashara Gani huko porini? Khs Kabila labda mie ndio nikuambie usiyoyajua ila wewe utaniambia uliyoyasoma na kuhadithiwa
 
Habari wakuu

Laurent Kabila alikataa kuwatambua Banyamulenge na watutsi wengine kama raia wa Congo kiasi alisema mkataba waliokubaliana ulikuwa wa vichochoroni

Jana Joseph Kabila anamlaumu Tschekedi kukataa kuwatambua watutsi na Banyamulenge

Hii imekaaje?
Kuna habari nilisoma kwenye gazeti la Rai miaka ya nyuma, kwamba Laurent hakuwa biological father wa Joseph na pia Joseph ana asili ya Rwanda baba yake Christopher.
 
Acha kudanganya Mkuu, Jannet hajawahi kufichwa popote pale,nijusaidie tu ana nyumba ,Masaki Dar es Salaam,acha uongo ,Janet amekua Hadi mbunge afichwe na nani na iweje ?
Mi nadhani anachanganya na ile kwamba biashara zake alikuwa anawaweka watu front bila yeye kuonekana anatafsiri kuwa ni kufichwa.
 
Back
Top Bottom