Inawezekanaje huyu celebrity wa "dunia" akawa na wig moja???

Ila hata mm nna katabia kabaya nikipenda ata nguo naeza nunua hata 5
Kuna nywele yang nikiivaa hua inanipendeza saaana kwaio najikutaga ikichakaa nanunua kama hio hio
Jib unalo madame salt


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alishafuliaga kitambo huyo, imebaki story tu.
 
Apa shida watu wengi hawamjui ama hawamfuatilii kimambi mtoa post umeona wigi tu ila hamasa zake za kuwatoa tongo tongo wa Tz juu ya siasa uchwala apo ungeandaa uzi wa wasifu wake kisha ulete izo mada zako za uchochezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefatilia comment nyingi nimegundua watanzania wengi sana ni washamba,,,,,,kinachonishangaza hata wadada na nyie mmesappport kwamba hajawahi kubadili hyo weaving!!!!!

Ushamba m'baya sana........Hajawahi kubadili mtindo au style ya weaving yake lkn sio kwamba tangu ashonee hyo hyo Basi et ndo hajawahi kuitoa kichwani wala kuibadili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi harakati zake sizijui nimeona wigi tu, we unaezijua uzipost
 
Team da mange nshaomba radhi lakini sina nia mbaya
 
Hahahah kule itakuwa hakuna haya ya kichina

mpuuzi mpuuzi tu
 
Njaa mbaya sana

Hela adimu mpaka tunakurupukia ndoa ya linda kisa kila siku anang'aa tu hakuna dalili ya talaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…