ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,891
- 13,750
Na alisema hiyo style inampendeza yeye tu na nani sijui....[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na alisema hiyo style inampendeza yeye tu na nani sijui....[emoji3]
NimechekaHalafu ana sura ya ki-“me” kabisa. Ukiondoa hilo dude unalolisema unakutana na me kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa wachache mno watakao kuelewaKwani zile dola laki tatu alizopewa hazitoshi kununua wigi lingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli. Hata kwa kumwangalia tu kwa haraka haraka,utajua ni me. Akiondoa hilo dude apige mavazi ya kiume,ajichanganye na me,huwezi kumtambua
Hayo mapenzi ni mazito kwakweli, basi sawa
Nlimuonaga zamani sana na akiwa na nywele zake anakua mcharo sana kuliko hiyo helmet
Mmmh kama kasema hivo , haya sawa labda kweli anapendezaNa alisema hiyo style inampendeza yeye tu na nani sijui....[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo miaka zaidi ya miwili tehIla hata mm nna katabia kabaya nikipenda ata nguo naeza nunua hata 5
Kuna nywele yang nikiivaa hua inanipendeza saaana kwaio najikutaga ikichakaa nanunua kama hio hio
Jib unalo madame salt
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi harakati zake sizijui nimeona wigi tu, we unaezijua uzipostApa shida watu wengi hawamjui ama hawamfuatilii kimambi mtoa post umeona wigi tu ila hamasa zake za kuwatoa tongo tongo wa Tz juu ya siasa uchwala apo ungeandaa uzi wa wasifu wake kisha ulete izo mada zako za uchochezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Team da mange nshaomba radhi lakini sina nia mbayaNimefatilia comment nyingi nimegundua watanzania wengi sana ni washamba,,,,,,kinachonishangaza hata wadada na nyie mmesappport kwamba hajawahi kubadili hyo weaving!!!!!
Ushamba m'baya sana........Hajawahi kubadili mtindo au style ya weaving yake lkn sio kwamba tangu ashonee hyo hyo Basi et ndo hajawahi kuitoa kichwani wala kuibadili
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli. Hata kwa kumwangalia tu kwa haraka haraka,utajua ni me. Akiondoa hilo dude apige mavazi ya kiume,ajichanganye na me,huwezi kumtambua
Sent using Jamii Forums mobile app