Inawezekanaje huyu celebrity wa "dunia" akawa na wig moja???

Inawezekanaje huyu celebrity wa "dunia" akawa na wig moja???

Ila hata mm nna katabia kabaya nikipenda ata nguo naeza nunua hata 5
Kuna nywele yang nikiivaa hua inanipendeza saaana kwaio najikutaga ikichakaa nanunua kama hio hio
Jib unalo madame salt

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apa shida watu wengi hawamjui ama hawamfuatilii kimambi mtoa post umeona wigi tu ila hamasa zake za kuwatoa tongo tongo wa Tz juu ya siasa uchwala apo ungeandaa uzi wa wasifu wake kisha ulete izo mada zako za uchochezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefatilia comment nyingi nimegundua watanzania wengi sana ni washamba,,,,,,kinachonishangaza hata wadada na nyie mmesappport kwamba hajawahi kubadili hyo weaving!!!!!

Ushamba m'baya sana........Hajawahi kubadili mtindo au style ya weaving yake lkn sio kwamba tangu ashonee hyo hyo Basi et ndo hajawahi kuitoa kichwani wala kuibadili

Team da mange nshaomba radhi lakini sina nia mbaya
 
Hahahah kule itakuwa hakuna haya ya kichina

mpuuzi mpuuzi tu
 
Ni kweli. Hata kwa kumwangalia tu kwa haraka haraka,utajua ni me. Akiondoa hilo dude apige mavazi ya kiume,ajichanganye na me,huwezi kumtambua

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20190310-141727.png
 
Njaa mbaya sana

Hela adimu mpaka tunakurupukia ndoa ya linda kisa kila siku anang'aa tu hakuna dalili ya talaka
 
Back
Top Bottom