ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 754
- 1,478
Mkuu ukiona mpaka X ameshiriki ujue huyo bado wana connect. Halafu Mzee kibongo bongo X haziachani kivile, vijana wa mjini wanakwambia kiporo huwa hakihitaji moto mwingi kukipasha ili kiliwe tena.Mkuu binafsi sina tatizo na X kuhudhuria harusi ya aliyekua mtu wake kama walishaachana. Mimi na jamaa mwingine ambaye tulishawahi kuwa wapenzi wa mdada flani mjini Dar tulichangia shughuli yake na kuhudhuria kiroho safi. Na hadi leo miaka kadhaa yule demu yuko poa na ndoa yake. Tatizo ni ile mtu anaolewa bado anaendelea kuliwa na X
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app