Inawezekanaje mchepuko wa mwanamke kuwa mwanakamati wa sendoff ya mwanamke wake kwenda kuolewa na mtu mwingine?

Mkuu ukiona mpaka X ameshiriki ujue huyo bado wana connect. Halafu Mzee kibongo bongo X haziachani kivile, vijana wa mjini wanakwambia kiporo huwa hakihitaji moto mwingi kukipasha ili kiliwe tena.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
mama kasema hataki chawa wewe bado unashipaza shingo
 
Saint Anno umekuja kuwaje aisee? Mbona enzi za ujauzito wako ulikuwa mtulivu?
Labda nilijifungua utajuaje???

Kama ulivyokuwa unanishangaa mimi ndo hivyo hivyo nakushangaa na ujauzito wako mchanga usiokuwa na baba mmoja,ni wa nani huo?katibu mwenezi au m/kiti wa uvccm?
 
Labda nilijifungua utajuaje???

Kama ulivyokuwa unanishangaa mimi ndo hivyo hivyo nakushangaa na ujauzito wako mchanga usiokuwa na baba mmoja,ni wa nani huo?katibu mwenezi au m/kiti wa uvccm?
Unajua hii username yako inanizuia mno kukujibu hovyo ila unanilazimisha sana. Unaonaje tukakubaliana tu kuheshimiana mimi na wewe hadi hapo kutakapotokea ulazima wa kudharauliana?
 
Unajua hii username inanizuia mno kukujibu hovyo ila unanilazimisha sana. Unaonaje tukakubaliana tu kuheshimiana mimi na wewe hadi hapo kutakapotokea ulazima wa kudharauliana?
Niwe muungwana.

Nisamehe kwa maandishi yangu hapa,nategemea hivi pia kutoka kwako.
 
VIJANA MSIOE JAMANI
NDOA NI UTAPELI
NDOA HAINA HUO UMUHIMU UNAO CHORWA
JALI AFYA YAKO YA AKILI
 
Umesemaa sahihi kbsaa group la michangoo niliungwaa bwana harusi aliyetuungaa alikuwaa na maex Kama wanne hivii na wotee walitoa michango ya maanaaa๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…...hivyoo vijana wanavyosemaa humu kataaa ndoaa tuwee tunawaelewaa tuuuuu...Marriage is a scam๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Ex wangu aliniomba mchango wa harusi yake na nihudhulie harusi yake.

Nilikataa na wala sikutoa kitu niliona ni usnitch sana kwa mwana.

Kina dada muwe mnawasahau na kufuta namba za ex wenu.

Jitu unaliuliza bado una mawasiliano na ex wako!? Linajibu ndio si ni kama marafiki tu, kuachana sio ugomvi.
Nyambaf kabisa, mwanamke wa hivi kuliwa na ex wake ni rahisi kama kumsukuma mlevi.

Mnaongea vinini hivyo na hamna mahusiano.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ