Inawezekanaje mke kumnyima mume wake unyumba?

Inawezekanaje mke kumnyima mume wake unyumba?

Hakuna akikataa kutoa tanua miguu piga mshindo weka pembeni Ila atakachokufanya hakuna rangi utaacha kuziona Shetani ataishia kuchukua notice tu

Cc: Jaji Mfawidhi

Nakuambia kuna jamaa alifanya hivyo kilichomkuta alikimbia nyumba hao mashetani hawatakagi mchezo kabisa na kukuroga ni kubonyeza tu

Copy moja kwa Jaji Mfawidhi
Sex inaanzia kwenye ubongo, huku chini ni kumalizia tu, mimi hubby wangu huwa anatuma sms za kichokozi kuanzia saa 4 asubuhi, baadae mchana ananiambia usiku atanifanyia operesheni, nikitoka kazini ananifuata na kuninunulia chokolate na apple, tukifika
 
Mie sielewi kabisa mume unanyomwajwe mbususu na mkeo. Wee mbake tuuu akikunyima mbususu
Siamini kuwa tuko mwaka wa 2023 na bado kuna ndugu zetu tanzania wanaona kubaka mwanamke ni kitu cha kukubalika na kujifaharia. Kubaka ni kumdhalilisha mwanamke, na kama kweli unampenda mke au girlfriend wako basi hutoweza hata mara moja kujaribu seuze kutimiza tendo la kumbaka. Maingiliano ya kimwili ni hiari na ni enjoyment baina ya wawili, siamini na wala sifahamu vipi mtu mwenye akili na heshima zake anaamua kumbaka mwanamke! Kuna enjoyment gani hasa kutumia nguvu na kupiga piga ili tu umwage?
 
Back
Top Bottom