Inawezekanaje mke kumnyima mume wake unyumba?

Inawezekanaje mke kumnyima mume wake unyumba?

Sasa kuna uhusiano gani na kumbaka na yeye kukupa limbwata la kuzidi kumpenda?

Yaani,
Kumbaka = Yeye kukufanyia limbwata uzidi kumpenda na kuona wanawake wengine kinyesi?

Ulielewa swali langu kweli?
Umehitimisha kwa hoja zisizoendana na ulichoongea.

Logical non sequitur
Hujaelewa wewe hiyo nimekupa km case study tu Ila sio kwamba anaenda kukupiga limbwata bwana mdogo
 
Habarini wandugu,

Moja kwa moja kwenye mada yetu.

Rafiki yangu mmoja aliniuliza `Hivi King Jody umewahi kunyimwa unyumba na mke wako? Nikamjibu hapana, hata mara moja, nikamwambia nipo kwenye ndoa kwa zaidi ya mika 10 sijawahi nyimwa hata mara moja hata kama tumepishana kauli nikihitaji napewa na itakuwa sehemu ya kumaliza ugomvi kati yetu.

Jamaa akaniambia aisee una bahati sana, mimi huwa nanyimwa, sababu siijui na nikipewa ni kwa masharti,
nataka niachane na mke wangu, nioe mwingine.

Wanajamii nimshauri vp huyu rafiki yangu, wewe pia unaweza kumshauri, lakini swali langu ni je, haya mambo yapo kwenye ndoa? kama yapo nini huwa chanzo?

Je, wewe umewahi kukutana na tatizo kama hili?

Tujadiliane ili tupate kujifunza.

Asanteni.
Mimi sijawahi kunyimwa unyumba toka nimeanza kuishi nae mpka ndoa,labda awe anaumwa au kuchoka...siku akininyima ntaondoka ucku huo kwenda kulala kwa mahawara zangu dadadeki zake
 
Mimi sijawahi kunyimwa unyumba toka nimeanza kuishi nae mpka ndoa,labda awe anaumwa au kuchoka...siku akininyima ntaondoka ucku huo kwenda kulala kwa mahawara zangu dadadeki zake
😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Mi wakwangu alininyima muda mrefu sana,nikaona sina haja ya kuendelea kumsumbua nikaacha kumwomba sex kabisa.nipo kimya miaka 3 na nusu sasa
 
Mi wakwangu alininyima muda mrefu sana,nikaona sina haja ya kuendelea kumsumbua nikaacha kumwomba sex kabisa.nipo kimya miaka 3 na nusu sasa
Mkuu kwaiyo yeye hajistukii na yupo na furaha kabisa ndani ya Nyumba?
 
Back
Top Bottom