Narejea tena nashangazwa sana kuwa kuna watanzania hadi leo wanadhani kuwa ni ok kumbaka mkeo. Ukweli ni kuwa kubaka ni kubaka tu na endapo mke akiamua kumripoti mumewe kuwa amembaka basi sheria inamtia hatiani mume. Inasikitisha sana tena sana kuwa kuna watu wanadhani kubaka ni jambo linalokubalika katika jamii yetu na wanaona ni jambo la kuja kujifaharia hapa! wacheni kubaka wanawake zenu, kubaka ni udhalilishaji. Sex inatakiwa kuwa enjoyment na sio kulazimishana na kuumizana!!!!!
Wanabakwa sana tu akipeleka kesi hio inakua kesi ya kifamilia mnawekwa chini mmalizane tofauti zenu na mlolongo wake mpaka kufika Mahakamani sio mdogo lazima uanzie kwa Baba Paroko au Bakwata wakishindwa ndio wanakupa barua ya kwenda kufungua shauri Mahakamani unachukulia poa au?
Na usichokijua ni kwamba hakuna popote ilipoandikwa kwenye Sheria ya Ndoa kwamba '
mwanamke inabidi amnyime mumewe unyumba' Ila
mwanamke asipoweza kupigwa paipu na mumewe wa Ndoa ni kigezo tosha kinachomwezesha Mwanamke
kudai haki yake ya Tendo la Ndoa na kufungua faili/shauri la kuomba divorce (Talaka) Mahakamani yaan kuachana na huyo mwanaume kwa maana '
hasimamishi na hampigi paipu' na Mahakama ikijiridhisha pasina shaka yoyote kua
kweli Mwanaume hana uwezo wa kusimamisha Ndoa hio inavunjwa mara moja
Kingine hakuna kifungua kwenye Sheria ya Ndoa kinachokataza Mwanamke alieolewa mumewe asimpige paipu iwe kwa hiari au kwa lazima, hakuna kifungu kwenye sheria ya Ndoa kinachomzuia Mwanaume asifanye mapenzi na mke wake iwe kwa hiari au kwa lazima, hakuna kifungu kwenye sheria ya Ndoa kinachomwelekeza mwanamke kupanga ratiba ya kupigwa paipu na mume wake wa Ndoa,
ukikubari kuolewa usilale na chupi lala uchi tena tanua mapaja na usilete habari kupangiana ratiba za kupigwa paipu wakati umetaka mwenyewe kuolewa na unajua Ndoa ni nini au unafikiri Ndoa ni kurudisha marejesho ya Vicoba?
Nakala yako moja pokea
Jaji Mfawidhi kazia ile report yako ya hukumu