Inawezekanaje mtu akampenda mchepuko sana kuliko mke wa ndoa?

Haya nimeulizwa hilo swalo naomba jibu

Nyie mnaopenda michepuko sana kuliko wake za ndoa mje mjibu nini mbaya?

Na sahivi imekuwa kama tabia na inaenda kuwa legalised

Sijui mtaishia vipi watoto wa sahivi?
Mchepuko akizaa katoto naye anatafutiwa mchepuko
 
Khaaa! Si bora umuache wenzako watamuoa tena kuliko umtoe uhai ukafie jela🏃‍♀️
 
ephen_ ulipotelea wapi?
Swali gumu, Lucas ajambo?
 
Mwanzoni mnakuwa mnatoa hela hadi raha
Tukishaingia ndani hamtoi
 
Kama anakatika vizur kwann usimpende
Akipata ajalo ya kiuno je?

 
Mtu akifanyaje ndo anakuonuesha kwamba anampenda mchepuko kuliko mke wake tuanzie hapo labda isije ikawa mke kamjengea bonge la nyumba alafu mchepuko kampangashia apartments ya gharama mkaona basi anampenda zaidi mchepuko
 
Mtu akifanyaje ndo anakuonuesha kwamba anampenda mchepuko kuliko mke wake tuanzie hapo labda isije ikawa mke kamjengea bonge la nyumba alafu mchepuko kampangashia apartments ya gharama mkaona basi anampenda zaidi mchepuko
 
Oya wee umeandika ukweli mtupu. Sikupingi[emoji322][emoji322]
 
Sio kweli. Tunahudumia familia kwa Kila kitu kuanzia chakula, mavazi, elimu, malazi na mengineyo. Ubinafsi wenu tu unawasumbua, kutubania vitumbua vyenu hivyo 😄
 
Nimesoma comments hapaa...kosa kubwaa ni kunyimwaa mbususu...kwani huwaa mnataka mara ngapi Kwa wiki?
Kila wakati , sio kwa kupangiana ratiba. Kuna wakati mborlo zetu zinakuwa zinataka kutomba lakini kutokana na uchovu wa mwili tunashindwa kudindisha vilivyo. Nipe maQu niichezee au cheza na mborlo basi japo kuonesha kwamba tupo pamoja 😃

Sio mtu unakaa mwezi mzima unaisha hujawahi hata kugusa mborlo ya mumeo chaaaaah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…