Inawezekanaje mtu akampenda mchepuko sana kuliko mke wa ndoa?

💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Haya nimeulizwa hilo swalo naomba jibu

Nyie mnaopenda michepuko sana kuliko wake za ndoa mje mjibu nini mbaya?

Na sahivi imekuwa kama tabia na inaenda kuwa legalised

Sijui mtaishia vipi watoto wa sahivi?
Wanawake wengi wakishaingia kwenye ndoa hujiona wao ndiyo kila kitu, dawa yao ni kuonja nje
 
Hamuitoi yote yaani inakuwa ya mgawo ukienda kwa mchepuko sasa anaitenga yote hata sebureni tu
unajipakulia. Mchepuko unajituma unakupa hadi style ya Sa100 kauza bandari maalfu kama Dpworld.
 
Heeee jamani 😅😅😅😅bas tutajirekebishaa
 
Heeee jamani 😅😅😅😅bas tutajirekebishaa
Tutawashukuru mno mkifanya hivo. Tutawahi sana kurudi nyumbani. Tutakununulieni zawadi nyingi zaidi. Tutawatoa out mara kwa mara. Tutawajali zaidi na zaidi.

Wanaume na ujanja wetu wote....we tupe maQu~tunanywea tunakuwa wadogo kama piriton😄😄
 
Hata spare tyre upendwa sana na dereva pale tairi lingine lililopo kazini likipata pancha (puncture).
 
uwee
 
Changamoto hii ni kubwa sana, Ndoa tena imekua kama vile tu maegesho ila watu hawako katika kumaanisha kabisa kwamba wapo tayari kubaki na mke mmoja au Mme mmoja.
Kuhusu maada hii ni kwamba, Sababu kubwa ni watu kutokuwa na heshima na hofu na Mungu.
aisee
kuna wenye hofu ya Mungu lakini wanaume zao wanacheat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…