GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #41
Japo inauma, lakini kama kuna ukweli ndani yake!Kuna mwamba alisema Africa hasa kusini mwa jangwa la sahara tukihamishiwa nchi za ulaya nao wakaletwa kuishi hapa Africa... Kwamba baada ya miaka 5 tutakuja kuomba msaada nilicheka sana... Ila ni kama. Kuna ukweli ndani yake
By the way... Kwann wanafunga ubalozi wao!??
We unafikiri ingekuwaje kama weusi wangefanikiwa kuwaondoa weupe wote South Africa?