Inawezekanaje nchi ndogo ya Denmark kuipa misaada nchi kuubwa Tanzania?

Japo inauma, lakini kama kuna ukweli ndani yake!

We unafikiri ingekuwaje kama weusi wangefanikiwa kuwaondoa weupe wote South Africa?
 
Ongezea na kanchi kadoogo, tena jirani yetu, Rwanda.
 
Na Serikali inapofanya jambo la maendeleo kwa kodi iliyotoza wananchi wake, inachukuliwa kama ni jambo la fadhila na siyo wajibu wa Serikali.
 
Tatizo letu ni misingi mibovu iliwekwa toka tulipopata uhuru.
Naungana na wewe

Nyerere ndo aliipoteza nchi

Akiweka katiba inayomlinda yeye na chama chake

Hakuwekeza katika tafiti kuhusu ukuaji wa nchi miaka 50 ijayo.

Hakuwekeza katika elimu bora na miundombinu bora

Matatizo yote ya Tanzania yameanza baada ya Yeye kuwa Rais
 
Kwa kujenga Ikulu na Airport kijijini?
 
Kwa ufupi mtu mweupe kabarikiwa. Na zaidi sisi mijitu mieusi tunateswa na ubinfsi. Angali kiongozi wetu ananunua goli million 20 nchi gani taifa gani raisi ananunua goli la timu ya klabu kama sio ufisadi nini
Mwenzako anawaza 2025
 
Hata France, Tanzania ni mara mbili ya France ambayo Ipo G7

Popote pale ninapoona miaafrica naona wizi, kukata Tamaa, njaa, ujinga, maradhi n.k.
Mfano Haiti imepakana na Marekani lakini ni maskini hoehae haina tofaut na Burundi..
Hizo picha ni Haiti


 
Kati ya makosa ninayoamini yalifanywa na baba wa Taifa ni kukumbatia sera ya Ujamaa.

Japo inawezekana ujamaa ulisaidia kutufanya kuwa wamoja, ulichangia pakubwa kutudidimiza kiuchumi.
 
Kati ya makosa ninayoamini yalifanywa na baba wa Taifa ni kukumbatia sera ya Ujamaa.

Japo inawezekana ujamaa ulisaidia kutufanya kuwa wamoja, ulichangia pakubwa kutudidimiza kiuchumi.
Huko alipo aongezewe dhambi
 
Huo ndo ukweli kaka, japo ukweli mchungu kwetu.
 
Ni kama kujiuliza kwa nini ubongo ni mdogo na unauongoza mwili mzima.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Angalia viongozi wako walivyo alafu utaelewa
Ndiyo kusema, LIKE THE FATHER, LIKE THE SON?

Dr. John C. Maxwell, Mwalimu mashuhuri wa uongozi hakukosea aliposema, EVERYTHING RISES AND FALLS ON LEADERSHIP.

Hata hivyo, ingawa viongozi umechangia kuifanya nchi kuwa kama ilivyo, ujue ni kwa sababu wananchi "wamewasaidia" kutimiza azma yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…