Inawezekaneje walimu wanaweza kuwa na kumbukumbu ya wanafunzi wote waliowafundisha?

Inawezekaneje walimu wanaweza kuwa na kumbukumbu ya wanafunzi wote waliowafundisha?

Mimi nafahamika na kila mwalimu,primary mpaka chuo kikuu cha nchini uganda makelele.
 
Nimekutana na mwalimu wangu wa shule ya msingi kwa sasa ni mstaafu ila mpaka jina langu kaniambia.

Walimu wanakipawa gani kujua watu na kila siku wanapokea idadi mpya ya wanafunzi.
Kama ulikuwa msichana uenda alikuwa anakutamani na kukupigia punyeto taswira yako muda mrefu hivyo awezi kukusahau
 
Nimekutana na mwalimu wangu wa shule ya msingi kwa sasa ni mstaafu ila mpaka jina langu kaniambia.

Walimu wanakipawa gani kujua watu na kila siku wanapokea idadi mpya ya wanafunzi.
Kama alikuchapa fimbo kila wiki anasahau vipi?
Umesahau daftari la mahudhurio?
Asipokuja yeye jana mda wa kuita majina unajibu
"Jana na leo"
 
Walimu hutambua wanafunzi waliokuwa na upekee darasani au shuleni mf vipanga sana na vilaza sana!!
 
Kuna sehemu ulimgusa ndo maana hajakusahau inawezekana ulikua mkorofi sana akapambana na wazazi wako,ulikua mteja wake sana wa bidhaa alizokua anauza,ulifaulu sana somo lake etc
 
Nimekutana na mwalimu wangu wa shule ya msingi kwa sasa ni mstaafu ila mpaka jina langu kaniambia.

Walimu wanakipawa gani kujua watu na kila siku wanapokea idadi mpya ya wanafunzi.
Chai.

Walimu wanawakumbuka wanafunzi ambao ni exceptional, either ni top students, vilaza kupindukia, mtukutu, mchezaji mpira maarufu nk.

Mwanafunzi wa kawaida hata wanafunzi wenzake ni rahisi kumsahau.
 
Nimekutana na mwalimu wangu wa shule ya msingi kwa sasa ni mstaafu ila mpaka jina langu kaniambia.

Walimu wanakipawa gani kujua watu na kila siku wanapokea idadi mpya ya wanafunzi.
Bila shaka ni mwalimu wa sayansi, ila TANGU LINI MWALIMU WA KISWAHILI AU URAIA akukumbukeee
 
Huyo mwalimu wako yupo vizuri.
Mimi wakimaliza tu miaka mitatu mbele nikikutana nao siwajui labda wawe wale watu wenye muonekano fulani ambao ni rahisi kumtambua tofauti na hapo itabidi wanikumbushe wao.
🤔🤔 Kama muonekano Gani vile Madam?
 
Back
Top Bottom