Income ipo, expenses za ofisi zipo chini yake lakini profit haiendani na juhudi

Nilikuwa nafanya hivyo lakini kwa sasa nimeweka mtu, kuhusu umeme ni price ya kawaida kabisa haizidi elfu10 kwa mwezi..

Huyo uliyemuweka mpe taarifa ya yeye kuwa anabeba chakula chake...sitisha hayo matumizi ya chakula
Kuna wakati kwenye biashara unatakiwa kufanya maamuzi magumu ili mambo yanyooke
 
Huu ushauri mzuri
Umenifanya nigune kwa sababu unaouliza kitu ambacho kipo dhahiri. Biashara yako ni ndogo ndiyo maana faida ni ndogo. Ushauri wa nini hasa cha kufanya.... kuna mengi ya kufanya. 1. Badilisha biashara au hamia eneo lenye watu wengi 2. Panua biashara kwa kuongeza bidhaa na mtaji. 3. Weka bidhaa za ''kuvutia watu'' (hata kama hazina faida kubwa) ili bidhaa ''mama'' unayouza mzunguko wake uwe mkubwa na haraka. ......Kuhusu matumizi wewe ndiye uko kwenye nafasi nzuri zaidi ya kujua kama kuna unaweza kupunguza.
 
Asante sana kwa ushauri wako mkuu, ila sihitaji faida kubwa, nichonataka tu ni kuelewa kutoka kwa wazoefu kwanini expenses zinakuwa kubwa mpaka zina minimize income inabaki nusu ya pesa iliyoingia kwa week nzima!
 
Kuna fixed expenses huna namna lazima zilipwe:
1. Maji
2. Umeme
3. Ulinzi
4. Kodi
5. Mshahara wa mfanyakazi(kama yupo).
6. Leseni na kodi za serikali

Hapa huwezi kujibana maana hizi ni za lazima. Biashara ikifeli kulipa hizi expenses lazima kuwe na source nyingine iliyopo stable.

Ndio maana wajasirimali wengi wanalia, au nasema uongo naa?
 
Ukitaka kufanya biashara kubali hasara. Biashara ni kama mchezo wa kubeti. Katika biashara kuna matumizi ya lazima chakula,umeme,maji,kodi ya nyumba,TRA,ushuru wa taka nk,kama unaona hauyamudu hayo basi nakushauri funga biashara mara moja. lakini kaa ukijua kuwa biashara ni mfumo wa kununua na kuuza kwa faida hivyo yakupasa uridhike na faida ndogo inayopatikana kwenye biashara yako. kila lenye kheri.
 
Hapa nimeanza kupata mwanga! Inamaana hata kodi ya biashara haitakiwi kuzalishwa ndani ya biashara🫢
 
Ukitaka kufanya biashara kubali hasara. Biashara ni kama mchezo wa kubeti. Katika biashara kuna matumizi ya lazima chakula,umeme,maji,kodi ya nyumba,TRA,ushuru wa taka nk,kama unaona hauyamudu hayo basi nakushauri funga biashara mara moja. lakini kaa ukijua kuwa biashara ni mfumo wa kununua na kuuza kwa faida hivyo yakupasa uridhike na faida ndogo inayopatikana kwenye biashara yako. kila lenye kheri.
Wabheja sana!
 
Asante sana kwa ushauri wako mkuu, ila sihitaji faida kubwa, nichonataka tu ni kuelewa kutoka kwa wazoefu kwanini expenses zinakuwa kubwa mpaka zina minimize income inabaki nusu ya pesa iliyoingia kwa week nzima!
Orodhesha expenses zote, yaani badala ya kuandika tu ''expenses''.... una list kila kitu. eg 1. fedha za takataka 2. umeme 3. mlinzi 4. chakula 5. nauli. Kama ni mtu asiye mwaminifu anahudumia, ukimwambia aandike tu ''expenses'' bila kuchanganua anaweza kukupiga. Kutoka hapo ndiyo unaweza kujua upunguze kipi na kuacha kipi
 
Sasa kodi ya pango itatoka wapi nje ya biashara yako? Kama kodi inatoka nje maana yake hiyo biashara haijiendeshi!
Unazidi kujichanganya tu, pesa inatoka kwenye biashara hiyohiyo, nashindwa tu kubalance income yangu vizuri au ni kawaida kwa haya kambo ukiwa unafanya biashara?
 
Orodhesha expenses zote, yaani badala ya kuandika tu ''expenses''.... una list kila kitu. eg 1. fedha za takataka 2. umeme 3. mlinzi 4. chakula 5. nauli. Kama ni mtu asiye mwaminifu anahudumia, ukimwambia aandike tu ''expenses'' bila kuchanganua anaweza kukupiga. Kutoka hapo ndiyo unaweza kujua upunguze kipi na kuacha kipi
Naandika kila kitu nina app na note books, nimeonesha mfano hapo juu nina records ya kila kitu!
 
Inawezekana kweli? Asante kwa huu ushauri acha niufanyie kazi..
Hapo kwenye miscellaneous expenses kuna hizo fixed expenses i.e ,rent,electricity bills na salary hizo huwezi kuzicontrol ila hapo unatakiwa uko-control variable expenses kama meals,transport expenses (if any),communication expenses na unnecessary expenses zote faida nzuri utaiona. Alafu jitahidi ukipata faida usiitumie ila plough back yote kwenye mtaji faida itakayokuja hapo itakuwa doubled au tripled. Na kumbuka ku-purchase in bulk ili upate discount ikiwa ni pamoja na kupata bidhaa nyingi.
 
Asante, nimeokota ku-purchase in bulks kupunguza gharama ila unnecessary expenses sina kabisa!
 
Unazidi kujichanganya tu, pesa inatoka kwenye biashara hiyohiyo, nashindwa tu kubalance income yangu vizuri au ni kawaida kwa haya kambo ukiwa unafanya biashara?
Mkuu,
Sijichnganyi wala, ila kama expenses >= income, hata ujumlishwe na kutoa vipi mambo yatakuwa magumu tu.

Mfano, weekly profit umesema ni 59 000 wakati expenses ni 38,000. Hapo bado mshahara, kodi ya pango na serikali. Na bado hujajilipa wewe kama mwenye ofisi, kuwa mjasiriamali ni kazi sio kidogo.
 
They vary accordingly, kuna week inazidi hapo kuna week inapungua hapo.. ila dah biashara ya mitaji mikubwa naona ndio haina hizi stress za hapa🤦🏽‍♀️
 
Back
Top Bottom