Income ipo, expenses za ofisi zipo chini yake lakini profit haiendani na juhudi

Income ipo, expenses za ofisi zipo chini yake lakini profit haiendani na juhudi

Hii 150k-200k ilikuwa ni mauzo au faida?
Maana kwa faida ya 150k per day hiyo ni biashara yenye capital kubwa tu. Yani 150k per day kama faida utaishi poa sana mjini hapa.
Kama ni mauzo, kuna biashara ili ikupe faida ya 50k per day mauzo yawe zaidi ya 1m.
Ni mauzo mkuu sasa kwa ushamba wa biashara sikuwaza yote hayo mradi kila siku naondoka na kitita 🤣🤣🤣
Na mzigo nilikua nachukua mali kauli sana, mwisho unajikuta kila supplier anakudai na inabidi unnue mzigo maana dukani umekata aloooh sikia kwa jirani tu 😭
 
Kuna biashara nilikuaga nafanya naingiza 150-200k karibia kila siku,lakini mtaji haukui
Kuja kupiga hesabu kwa mwezi mzima faida ni kama elf 30 hapo sijajilipa mwenyewe 😂😂😂 ndo maana nashangaaga sana mtu kafungua duka miezi miwili kannua range uwii 😭
150 mpaka 200 kila siku kama faida na mtaji haukui🤣🤣 bora ushike jembe tukalime mama
 
500k profit? That's roughly 15m per month.
Hiyo sio biashara ndogo, hata mtaji wake sio mdogo, soko lake ni kubwa pia. Tunaongelea mtu mwenye 100m+ kama mtaji
Ni sawa nilikuwa naongezea tu hapo, fatilia watu wenye saluni kubwa za kucha na nywele! Wanapata pesa sikufichi..
 
Biashara kama tatu zote niliziua kwa kuchanganya na matumizi yangu ya kila siku , yani hakuna kitakacho ongezeka, utakua una maintain tu biashara either isife ili uishi ila kukua sahau.
Ndiomaana biashara inaweza maliza mwaka unaishia kulipa madeni na kodi tu🤦🏽‍♀️
 
Fungua kabiashara kingine ka ziada unakuwa na more than one option hiyo ziada unaweka mtu unayemuamini kusimamia huku wewe ukiendelea na hiyo at the end of the day unakuwa na double source of income
 
Ni mauzo mkuu sasa kwa ushamba wa biashara sikuwaza yote hayo mradi kila siku naondoka na kitita 🤣🤣🤣
Na mzigo nilikua nachukua mali kauli sana, mwisho unajikuta kila supplier anakudai na inabidi unnue mzigo maana dukani umekata aloooh sikia kwa jirani tu 😭
Nimecheka sana mkuu, una kibunda cha 200k unajua hapa nina mzigo wa kutosha kumbe ya kwako haifiki 15k😅😅😅
 
Habari wana JF,

Naomba msaada wa mawazo kutoka kwa wenye uzoefu. Nina biashara ndogo ambayo kwa wiki inaweza kuniingizia kati ya 50,000 hadi 100,000, ingawa sio kila siku kuna biashara.

Kinachonitatiza ni kwamba, licha ya kuwepo kwa kipato, matumizi yanabaki kuwa makubwa kuliko pesa inayoingia.
Mfano halisi: wiki ikaingia 59,000, lakini matumizi yakafika 38,000. Matumizi hayo yanahusisha chakula, bili za umeme na maji, pamoja na baadhi ya vifaa. Ikabaki 21000, nadhani hapo naelekeka sasa namaanisha nini..

Baada ya kuondoa matumizi, faida inayobaki ni ndogo sana, kiasi cha kunifanya nishindwe kuelewa kama biashara hii inanipa faida ya maana au inanizungusha tu.. income>Expenses, lakini faida ya biashara inaonekana ndogo

Kwa uzoefu wenu:
  • Je, hali kama hii ni ya kawaida kwenye biashara ndogo?
  • Ni vipi naweza kupumguza expenses bila kuua biashara?
  • Au kuna mbinu za kuongeza faisa hata kama mauzo si ya kila siku?

View attachment 3540163
Cha ajabu kwenye records monthly expenses zinashuka na faida kuonekana ipo, lakini sio kipato nilicholenga kulingana na biashara inavyoenda! Wajuzi mnisaidie naona navurugika kila nikifanya recordings, huwa nina kawaida ya kurecord kila ninachofanya, sasa naona siridhizishwi na haya matokeo ya mwisho!

NB, wale wanaotaka kujua aina ya biashara ni urembo in general..
Hii biashara inaingiza faida kubwa mno, margin ni zaidi ya asilimia 50 so kitaalamu biashara yako ina Afya nzuri tu.

Kinachokukwamisha wewe sio expenses wala faida Bali mzunguko mdogo wa biashara yako.

Je kuna uwezekano wa kuipanua? Kuongeza watu ama branches?
 
500k per day ni mauzo au faida mkuu?
Mi naona ni faida, mfano wewe una saluni ya kike, Ni naturalist, lets say unasuka at least watu 40 each weekend na atleast 20 weekdays each 30,000 daily una shingapi kwa kwa siku?
Unatengezea kucha 50,000 kwa siku una watu 20+ unashingapi hapo?
Mind u sio za pembeni hizi ni zile zipo town..
 
Hii biashara inaingiza faida kubwa mno, margin ni zaidi ya asilimia 50 so kitaalamu biashara yako ina Afya nzuri tu.

Kinachokukwamisha wewe sio expenses wala faida Bali mzunguko mdogo wa biashara yako.

Je kuna uwezekano wa kuipanua? Kuongeza watu ama branches?
Ukigawa hiyo 59k kwa kila siku ni kama 8k hivi. Nahisi kama faida ni ndogo bado haiwezi kabisa kusustain biashara, japo mleta mada kasema ina vary, huenda kuna wiki inapanda zaidi.
 
Hii biashara inaingiza faida kubwa mno, margin ni zaidi ya asilimia 50 so kitaalamu biashara yako ina Afya nzuri tu.

Kinachokukwamisha wewe sio expenses wala faida Bali mzunguko mdogo wa biashara yako.

Je kuna uwezekano wa kuipanua? Kuongeza watu ama branches?
Umenitia moyo sana! Mzunguko sio mkubwa maana sio mjini, pia nimewaza kufanya hivyo ni either nianzishe nyingine au niipanue hiyo kwa kuhamishia eneo jingine!
 
Back
Top Bottom