Duuu, hili swali majibu unayajua mwenyewe.Asante sana kwa ushauri wako mkuu, ila sihitaji faida kubwa, nichonataka tu ni kuelewa kutoka kwa wazoefu kwanini expenses zinakuwa kubwa mpaka zina minimize income inabaki nusu ya pesa iliyoingia kwa week nzima!
Unafikiri hataki kufanya hivyo!Fungua kabiashara kingine ka ziada unakuwa na more than one option hiyo ziada unaweka mtu unayemuamini kusimamia huku wewe ukiendelea na hiyo at the end of the day unakuwa na double source of income
Ndugu yangu kuna location hata uongeze mtaji vipi mauzo yanabaki yaleyale. Hasa sehemu zenye limited number ya watu.Ongeza mauzo. Turnover iongezeke eventually hizo expenses hazitakuwa mzigo. Weka nguvu zako kwenye mauzo.
Biashara ni mauzo. Kama huwezi kuuza funga biashara kabla haijakufia.Ndugu yangu kuna location hata uongeze mtaji vipi mauzo yanabaki yaleyale. Hasa sehemu zenye limited number ya watu.