kitotochaMama
JF-Expert Member
- Feb 1, 2026
- 235
- 437
😅😅 Unataka mishangazi eeh haya sawa broAanh mi sitaki watoto wa humu jau kweli
😅😅 Unataka mishangazi eeh haya sawa broAanh mi sitaki watoto wa humu jau kweli
😅😅 Nilisahahu malizia lenye pesa na RR veral eehMishangazzz yenye pesa🤗
RR kwako si toy bro.. ndio maana nikasema ni ku desh 😂😂Umeshasema nina g wagon! Nitamani RR ya mwanamke ya nini😁
How????Sales
Sales
Sales
Unapoongeza sales unaongeza cash flowHow????
Siku hizi tunatumia canvas business model ndo mpango mzima it's simple na rahisi kufatishaInabidi uunde mpango mkakati ndio maana kabla ya kuanza biashara lazima uwe na Business Plan mkononi inayoweza kukupa Map ya biashara yako itaendaje kuanzia mwanzo kabisa wa biashara ili hapo kati usije ukayumba
Mo na Bakhresa wapo kwenye mass marketNa ukiangalia alichotumia Kupata hio 8000 ni 16,000, biashara gani ya uhakika ina faida kubwa hivyo? Tatizo hapo sio faida Bali mzunguko wake mdogo, kama pato la wiki ni chini ya laki 2 hio faida ni reasonable kabisa. Hata hao kina Mo na Bakhresa hawana margin kubwa hivyo.
Bakhresa pia anauza Chai na vitumbua, kama mama ntilie ambayo pengine ikawa Turnover inafanania na Mtoa mada per branch.Mo na Bakhresa wapo kwenye mass market
Nashauri ili tusimchamganye muomba ushauri tujikite na hesabu halisi na za kweli kutokata na stage ya biashara yake
Unanichosha tu hutaki kuelewaBakhresa pia anauza Chai na vitumbua, kama mama ntilie ambayo pengine ikawa Turnover inafanania na Mtoa mada per branch.
Hawana lolote hao wanakalia Tako moja vijambio vyao vinawauma washafumuliwa marindaBiashara ngumu sana hiyo! Sisi wengine ni mpaka tupambana wenyewe after all hatuna kitu cha kuuza😬
Sijawahi sikia kwakweli, napo naona wana mafanikio makubwa kuzidi sisi tunaopambana wenyewe😅
Ndo ametajirika Kwa k na kijambio sio, mchunguze Kwa undani kama hajinyeagi huyo, matundu yote hapo yapo wazi akicheka au akikihoa anajamba ushuzi au anakunya, hapo ni mwendo wa kunuka mavi tuu maaaaamaeeeeUmewaza nini Mzee unamjua Nicole Joyce Berry? Tulia kwanza usije kwa pupa utakaa
Ndo ametajirika Kwa k na kijambio sio, mchunguze Kwa undani kama hajinyeagi huyo, matundu yote hapo yapo wazi akicheka au akikihoa anajamba ushuzi au anakunya, hapo ni mwendo wa kunuka mavi tuu maaaaamaeeee
Na huyo hawezi kukalia matako yote ni mwendo wa kukalia Tako moja hata akiwa anaendesha gari ili asijitoneshe kijambioni maumivu ya kusuguliwa.
tafuta mhasibu akupigie hesabu unakosea upigaji wako wa hesabu kuna principals of accounting unazikosea hauruhusiwi kuchanganya mahesabu ya biashara na binafsi yanatakiwa kujitegemea nkHabari wana JF,
Naomba msaada wa mawazo kutoka kwa wenye uzoefu. Nina biashara ndogo ambayo kwa wiki inaweza kuniingizia kati ya 50,000 hadi 100,000, ingawa sio kila siku kuna biashara.
Kinachonitatiza ni kwamba, licha ya kuwepo kwa kipato, matumizi yanabaki kuwa makubwa kuliko pesa inayoingia.
Mfano halisi: wiki ikaingia 59,000, lakini matumizi yakafika 38,000. Matumizi hayo yanahusisha chakula, bili za umeme na maji, pamoja na baadhi ya vifaa. Ikabaki 21000, nadhani hapo naelekeka sasa namaanisha nini..
Baada ya kuondoa matumizi, faida inayobaki ni ndogo sana, kiasi cha kunifanya nishindwe kuelewa kama biashara hii inanipa faida ya maana au inanizungusha tu.. income>Expenses, lakini faida ya biashara inaonekana ndogo
Kwa uzoefu wenu:
- Je, hali kama hii ni ya kawaida kwenye biashara ndogo?
- Ni vipi naweza kupumguza expenses bila kuua biashara?
- Au kuna mbinu za kuongeza faisa hata kama mauzo si ya kila siku?
View attachment 3540163
Cha ajabu kwenye records monthly expenses zinashuka na faida kuonekana ipo, lakini sio kipato nilicholenga kulingana na biashara inavyoenda! Wajuzi mnisaidie naona navurugika kila nikifanya recordings, huwa nina kawaida ya kurecord kila ninachofanya, sasa naona siridhizishwi na haya matokeo ya mwisho!
NB, wale wanaotaka kujua aina ya biashara ni urembo in general..