RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,337
- 138,962
Exactly. Mimi nimeandika lugha rahisi. Aongeze mauzo. Akajifunze kulingana na biashara yake anaongeza vipi mauzo(sales).Sales
Sales
Sales
Exactly. Mimi nimeandika lugha rahisi. Aongeze mauzo. Akajifunze kulingana na biashara yake anaongeza vipi mauzo(sales).Sales
Sales
Sales
Nimesom baadhi ya comments. Kwa upande wangu mm naon wan force ufany vitu ambavyo hautaweza. Mfano suala la kupunguza matumiz ambay ni ya lazim. Mm nakubalian na yule aliyesem tanua iyo biashara. Mfano unawez kuongeza mpesa Yan Kam umewez kubuni biashara na ukaingiz iyo fedha huo ni mwanzo mzuri. Embu tafakar ni kitu gan unawez kubuni tena ndani iyo biashara kulingana na mazingira. Kama ikishindikan badilish biashara Yani mtu uache kula kwel ili upat faida utafanya hivy mpak liniHabari wana JF,
Naomba msaada wa mawazo kutoka kwa wenye uzoefu. Nina biashara ndogo ambayo kwa wiki inaweza kuniingizia kati ya 50,000 hadi 100,000, ingawa sio kila siku kuna biashara.
Kinachonitatiza ni kwamba, licha ya kuwepo kwa kipato, matumizi yanabaki kuwa makubwa kuliko pesa inayoingia.
Mfano halisi: wiki ikaingia 59,000, lakini matumizi yakafika 38,000. Matumizi hayo yanahusisha chakula, bili za umeme na maji, pamoja na baadhi ya vifaa. Ikabaki 21000, nadhani hapo naelekeka sasa namaanisha nini..
Baada ya kuondoa matumizi, faida inayobaki ni ndogo sana, kiasi cha kunifanya nishindwe kuelewa kama biashara hii inanipa faida ya maana au inanizungusha tu.. income>Expenses, lakini faida ya biashara inaonekana ndogo
Kwa uzoefu wenu:
- Je, hali kama hii ni ya kawaida kwenye biashara ndogo?
- Ni vipi naweza kupumguza expenses bila kuua biashara?
- Au kuna mbinu za kuongeza faisa hata kama mauzo si ya kila siku?
View attachment 3540163
Cha ajabu kwenye records monthly expenses zinashuka na faida kuonekana ipo, lakini sio kipato nilicholenga kulingana na biashara inavyoenda! Wajuzi mnisaidie naona navurugika kila nikifanya recordings, huwa nina kawaida ya kurecord kila ninachofanya, sasa naona siridhizishwi na haya matokeo ya mwisho!
NB, wale wanaotaka kujua aina ya biashara ni urembo in general..
Umemuelewa tofautiYaan afungue biashara zingine km 4 hivi kutoka 1 yaan afanye duplication ya mauzo maana yake inabidi afungue hio biashara zaidi ya mara 2 mpaka 4 au sio? Can you do that on PDF or on field?
Usitake majibu yako yawe sahihi kwa Kila mtuKwa mujibu wa maelezo huyo ni small-scale sio large-scale hawezi kua na big investment as you think but kuna namna nyingine anaweza kufanya km nilivyomueleza hapo juu, angesema yeye ni large-scale tungempa hizo awakeze Million 500 ataona faida mara dufu sasa mtu ukiangalia tu mtaji wake hauzidi 300k upto 400k this is smal-scale
Achana naeKwani kuongeza mauzo maana yake ni kufungua biashara mara 2 au 4?
Investment ina uhusiano mkubwa na return pia. Usimamizi wa pesa kwenye biashara ambazo zimekuwa zinakuwa ni changamoto na hii inatokea na dusu Kwa dusu hakuna utaratibu wa kujilipa mwisho wa mwenzio ndio maana inakuwa changamoto wakati mwingine ku trace real profitHabari wana JF,
Naomba msaada wa mawazo kutoka kwa wenye uzoefu. Nina biashara ndogo ambayo kwa wiki inaweza kuniingizia kati ya 50,000 hadi 100,000, ingawa sio kila siku kuna biashara.
Kinachonitatiza ni kwamba, licha ya kuwepo kwa kipato, matumizi yanabaki kuwa makubwa kuliko pesa inayoingia.
Mfano halisi: wiki ikaingia 59,000, lakini matumizi yakafika 38,000. Matumizi hayo yanahusisha chakula, bili za umeme na maji, pamoja na baadhi ya vifaa. Ikabaki 21000, nadhani hapo naelekeka sasa namaanisha nini..
Baada ya kuondoa matumizi, faida inayobaki ni ndogo sana, kiasi cha kunifanya nishindwe kuelewa kama biashara hii inanipa faida ya maana au inanizungusha tu.. income>Expenses, lakini faida ya biashara inaonekana ndogo
Kwa uzoefu wenu:
- Je, hali kama hii ni ya kawaida kwenye biashara ndogo?
- Ni vipi naweza kupumguza expenses bila kuua biashara?
- Au kuna mbinu za kuongeza faisa hata kama mauzo si ya kila siku?
View attachment 3540163
Cha ajabu kwenye records monthly expenses zinashuka na faida kuonekana ipo, lakini sio kipato nilicholenga kulingana na biashara inavyoenda! Wajuzi mnisaidie naona navurugika kila nikifanya recordings, huwa nina kawaida ya kurecord kila ninachofanya, sasa naona siridhizishwi na haya matokeo ya mwisho!
NB, wale wanaotaka kujua aina ya biashara ni urembo in general..
Biashara ngumu sana hiyo! Sisi wengine ni mpaka tupambana wenyewe after all hatuna kitu cha kuuza😬Hapo sawa mrembo inatakiwa uwe mpambanaji mama lake, achana na hao wenzako wanaopambana kupitia k zao na vijambio ili watoboe. Wengine wanawinda matajiri waume za watu ili waolewe wake wa pili na watatu ili wagawiwe mali wakitarajia ndo watatoboa Kwa njia hizo.
Sijawahi sikia kwakweli, napo naona wana mafanikio makubwa kuzidi sisi tunaopambana wenyewe😅Ulishaskia kahaba yupi au Malaya yupi yupo kwenye top 10 ya list ya matajiri KATIKA taifa au Dunia eti kwamba katoboa sababu ya kuuza k au kijambio.
Wewe mtaji hauzidi laki 3 tena😂😂Kwa mujibu wa maelezo huyo ni small-scale sio large-scale hawezi kua na big investment as you think but kuna namna nyingine anaweza kufanya km nilivyomueleza hapo juu, angesema yeye ni large-scale tungempa hizo awakeze Million 500 ataona faida mara dufu sasa mtu ukiangalia tu mtaji wake hauzidi 300k upto 400k this is smal-scale
Dusu kwa dusu maana yake nini?Investment ina uhusiano mkubwa na return pia. Usimamizi wa pesa kwenye biashara ambazo zimekuwa zinakuwa ni changamoto na hii inatokea na dusu Kwa dusu hakuna utaratibu wa kujilipa mwisho wa mwenzio ndio maana inakuwa changamoto wakati mwingine ku trace real profit
( Uingizaji wa hela wa kidogo kidogo ) . Nzuri jiwekee utaratibu wa mwisho wa mwezi, ila ukiwa na ya wiki au kwa siku ina changamoto. Ila ukiweka Kwa mwezi Kuna kitu tofauti utaanza kukionaDusu kwa dusu maana yake nini?
Kwa mwezi nitaridhika snaa na sitoona makosa madogo madgo kama haya yaliyopo sasa!( Uingizaji wa hela wa kidogo kidogo ) . Nzuri jiwekee utaratibu wa mwisho wa mwezi, ila ukiwa na ya wiki au kwa siku ina changamoto. Ila ukiweka Kwa mwezi Kuna kitu tofauti utaanza kukiona
Ukitaka growth fanya hivyo. Biashara nyingi za Kati au chini wanazifubuza Kwa utaratibu usio mzuri wa utoaji pesa. Nitafute nikupe ushauri wa biashara na hesabu Bure kabisa Kwa brother kama wewe..Kwa mwezi nitaridhika snaa na sitoona makosa madogo madgo kama haya yaliyopo sasa!
Nikutafute wapi sista? Kwanini usitoe hapa kwa faida ya members mkuu! Nyie wadada mkifuatwa pm mnaringa sana! Kwanza pm umefunga mtu akutafute wapi usingizini au?Ukitaka growth fanya hivyo. Biashara nyingi za Kati au chini wanazifubuza Kwa utaratibu usio mzuri wa utoaji pesa. Nitafute nikupeushauri wa biashara na hesabu Bure kabisa Kwa brother kama wewe..
😅 Nafungua Kwa ajiri yako brother. Ndio maana Kuna consultation bro wangu, hizo ni service ni taalamu za watu Kuna pa kutoa free na pa kulipia na Kwa wewe Bure kabisa brother nimekuwa kwenye game for 15 years ups and down nyingi nimepita nazoNikutafute wapi sista? Kwanini usitoe hapa kwa faida ya members mkuu! Nyie wadada mkifuatwa pm mnaringa sana! Kwanza pm umefunga mtu akutafute wapi usingizini au?
Aanh sister uje useme nimekutongoza, weka hapa ata kidogo tufaidike wachache bana😅 Nafungua Kwa ajiri yako brother. Ndio maana Kuna consultation bro wangu, hizo ni service ni taalamu za watu Kuna pa kutoa free na pa kulipia na Kwa wewe Bure kabisa brother nimekuwa kwenye game for 15 years ups and down nyingi nimepita nazo
Kwani kutongoza ni jinai bro 😅😅Aanh sister uje useme nimekutongoza, weka hapa ata kidogo tufaidike wachache bana