Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
But last time walipoingia vitani miaka ya 70's kama sikosei Mchina alishinda vita.India na China wana makubaliano ya kutotumia silaha mpakani Ladakh pale hivyo ilipotokea fujo wanajeshi wao walipigana ngumi, mawe, fimbo na vitu vya ncha kali. Ndio maana zaidi iliitwa brawl wala sio attack. Na kwa kawaida brawl hutegemea nani ana msuli zaidi, sio nani ana silaha kali kwani hazitumiki. Ule ugomvi walitoka suluhu acha utani kuna Wachina waling'oka meno na footage nyingine zilionekana baadae. Wote kwa pamoja wana propaganda kali si rahisi kujua nani alipigwa pale, official data zinapingwa na ushahidi
India bado sana kwa China hata Wahindi wenyewe wanalijua hilo