India na China iko siku kitawaka

India na China iko siku kitawaka

China asiingie vitani maana dunia nzima itaumia
 
Haya ni mataifa ambayo China akitia kidole tu, atapigwa kama ngoma, na wote ni mahasimu wake.

1. India
2. Japan
3. Taiwan

Hizo namba mbili za mwanzo hazifai hata chembe.
India kwa China bado Mzee!
Ilichezea kipindi kwa Imran Khan alivyojaribu nae kujiona babu kubwa!
 
Haya ni mataifa ambayo China akitia kidole tu, atapigwa kama ngoma, na wote ni mahasimu wake.

1. India
2. Japan
3. Taiwan

Hizo namba mbili za mwanzo hazifai hata chembe.
Hata Taiwan bado huo ubavu hana!

Taiwan inajititimua kwa sababu ya US ndio maana inajiona babkubwaa na kutoa kauli za kibabe. Ikipambana na China inapigwa hata wiki haifiki kwa sababu nguvu ya kijeshi yake si sawa na China halafu ina eneo dogo. Ikiporomoshewa makombora kwa saa 24 mfululizo kisiwa chote kimeshaisha.
 
Na wakati huo India haiwezi kupiga marufuku bidhaa za China, labda kwenye teknolojia muhimu za kiusalama kama data. La sivyo wajiandae kuharibika kiuchumi, hawaipendi ila wanalazimika ndio maana kwenye mgogoro wa Ladakh mwaka 2019 waliweka vikwazo bidhaa chache sana.

China haiwezi pigwa na India tuache utani. Wala Taiwan haiwezi kuipiga China. Kuna tofauti kati ya kudhibiti nchi isikupige na kuipiga hiyo nchi. China anakuwa underestimated kisa eti hajawahi pigana modern warfare. Kwa sasa China ina uwezo mkubwa sana wa kupambana na Urusi, sembuse India na Taiwan. Hata Taiwan yenyewe inajua fika kuwa bila Marekani with time itapigwa na PRC
Sasa chief unafikiri India anaweza akavimba mbele ya China bila US, hata Japan vivyo hivyo. Wote hawa wanategemea mgongo wa US.
 
Haya ni mataifa ambayo China akitia kidole tu, atapigwa kama ngoma, na wote ni mahasimu wake.

1. India
2. Japan
3. Taiwan

Hizo namba mbili za mwanzo hazifai hata chembe.
India kijeshi iko chini Sana ya Uchina.
Uchina na India kwa zaidi ya 80 % wanatumia Soviet made ama Russian made weapons kwa mfano India airforce inarely kwenye ndege za kirusi fourth generation Su 30 MKI, wakati mchina ana rely kwenye Russian Su 35 ( flankers E). Japo amekuja na indigenous J 20 stealth fighterjet Bado si tegemeo kubwa kutokans na changamoto za u- stealth wake . Pia India wanna mig 29 Soviet made, pia mig 21 Soviet made.
Uchina wa j16 ambayo Ni lisence produced ya Russian Su 27.
Lakini pia India wanna indigenous aircraft iitwayo Tejas ambayo kwa miaka 40 Sasa haijafanikiwa kuwa active kijeshi.
Nnachotaka kusema Nini Hapa.. Hapo Hakuna mpole Vita Kati yao ni kuangamia kwa China na India. Wote wanna nyuklia pia
 
Back
Top Bottom