Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
But last time walipoingia vitani miaka ya 70's kama sikosei Mchina alishinda vita.India na China wana makubaliano ya kutotumia silaha mpakani Ladakh pale hivyo ilipotokea fujo wanajeshi wao walipigana ngumi, mawe, fimbo na vitu vya ncha kali. Ndio maana zaidi iliitwa brawl wala sio attack. Na kwa kawaida brawl hutegemea nani ana msuli zaidi, sio nani ana silaha kali kwani hazitumiki. Ule ugomvi walitoka suluhu acha utani kuna Wachina waling'oka meno na footage nyingine zilionekana baadae. Wote kwa pamoja wana propaganda kali si rahisi kujua nani alipigwa pale, official data zinapingwa na ushahidi
Huo ndio mfumo wa uwekezaji wa PRC lazima kwenye kampuni serikali pia iwe na hisa.Kilio Cha makampui ya india makampuni ya china yanapewa subsidy na Chinese government
Ulichoongea ni kweli India haiwezi pambana na India sababu china wanatechnologia kubwa
Kwenye uchumi India Ina kuja kwa kasi ilo halina ubishi ubaya na utofauti Kati ya India na PRC, PRC ni wajamaa baada ya PRC kupaa sana kiuchumi na ili kuwa na masikini wengi kwa hiyo CPC ilichoamua kufanya Ni kuwakomboa masikini wengi walio nao na kuwa peleka katika kipato Cha kati zaidi ya masiki 600miln walikombolewa kupitia sera ya CPC ya “poverty alleviation” Ila India sio taifa la kijamaa na uchumi wake unapaa kwa kasi huku pia masikini wengi wakiongezeka kutokana na uwingi mkubwa wa watu India ilio nao sasa je serikali ya India itachukua jukumu la kijamaa la kuwakomboa raia wake kutoka kwenye umaskini hilo ni swali la kujiuliza ?Hata china walikuja ku-comfirm wanajeshi wao walikufa, Leo hii India imeipita u.k kwenye GDP sio watu wa kudharau hata kidogo
Wahindi wachache wanaojua hilo, na wanaojua huwa hawasemi sana kukwepa kuzodolewa. Vyombo vya habari vyote vya Kihindi kina Hindustan Times na wengine ukiwaona wanasifia silaha zao utadhani ndio the best duniani. Wahindi wana uzalendo wa kupitiliza ukileta suala la China au Pakistan.But last time walipoingia vitani miaka ya 70's kama sikosei Mchina alishinda vita.
India bado sana kwa China hata Wahindi wenyewe wanalijua hilo
Baada ya Mzee Pombe kuapishwa niliamin atafata mienendo ya huyu mwamba walau robo ya kile alichokifanya.Kwenye uchumi India Ina kuja kwa kasi ilo halina ubishi ubaya na utofauti Kati ya India na PRC, PRC ni wajamaa baada ya PRC kupaa sana kiuchumi na ili kuwa na masikini wengi kwa hiyo CPC ilichoamua kufanya Ni kuwakomboa masikini wengi walio nao na kuwa peleka katika kipato Cha kati zaidi ya masiki 600miln walikombolewa kupitia sera ya CPC ya “poverty alleviation” Ila India sio taifa la kijamaa na uchumi wake unapaa kwa kasi huku pia masikini wengi wakiongezeka kutokana na uwingi mkubwa wa watu India ilio nao sasa je serikali ya India itachukua jukumu la kijamaa la kuwakomboa raia wake kutoka kwenye umaskini hilo ni swali la kujiuliza ?
View attachment 2343494
India ni mojawapo ya nchi zenye tofauti kubwa ya kipato baina ya raia. Na mpambano wa Mhindi kutoka kwenye umaskini kwenda utajiri ni mkali sana, mianya michache fursa zimeshikwa karibia zote. Hakuna kipya ukianzisha jambo leo leo ushapata wa kuiga, population yenyewe ni kama 1.3 billion miaka hata mitatu haitofika India ndio itakuwa na watu wengi zaidi duniani.Kwenye uchumi India Ina kuja kwa kasi ilo halina ubishi ubaya na utofauti Kati ya India na PRC, PRC ni wajamaa baada ya PRC kupaa sana kiuchumi na ili kuwa na masikini wengi kwa hiyo CPC ilichoamua kufanya Ni kuwakomboa masikini wengi walio nao na kuwa peleka katika kipato Cha kati zaidi ya masiki 600miln walikombolewa kupitia sera ya CPC ya “poverty alleviation” Ila India sio taifa la kijamaa na uchumi wake unapaa kwa kasi huku pia masikini wengi wakiongezeka kutokana na uwingi mkubwa wa watu India ilio nao sasa je serikali ya India itachukua jukumu la kijamaa la kuwakomboa raia wake kutoka kwenye umaskini hilo ni swali la kujiuliza ?
View attachment 2343494
China imeipiku Sana India kiuchumi, kijeshi na kiteknolojia.Na makampuni ya China baada ya kujua hilo yakafanya uwekezaji ndani ya India. India si wanakuja na Make in India Policy, China wanachukua opportunity kuwa investors na kupunguza mwanya wa competition
Imeipuka kwa mbali sana. China ni namba nyingine hata USA analijua hilo.China imeipiku Sana India kiuchumi, kijeshi na kiteknolojia.
Hizi chapa mbili, viongozi wote wa Tanzania kuanzia awamu ya kwanza [ Mwalimu ] mpaka sasa awamu ya sita [ Mama ] nawadai kwa nini wana shindwa kujifunza na kucopy mienendo ya hivi vichwa viwili katika upande wa uchumi ?Baada ya Mzee Pombe kuapishwa niliamin atafata mienendo ya huyu mwamba walau robo ya kile alichokifanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo vichwa achana navyo. Hao waliweka misingi mizuri sana kwa hii China tunayoiona leo.Hizi chapa mbili, viongozi wote wa Tanzania kuanzia awamu ya kwanza [ Mwalimu ] mpaka sasa awamu ya sita [ Mama ] nawadai kwa nini wana shindwa kujifunza na kucopy mienendo ya hivi vichwa viwili katika upande wa uchumi ?
View attachment 2343625
Kweli mkuu viongozi wetu kuna vitu vya kiuchumi vichwani hawana kabisa na hili ndilo tatizo letu kuu uchumi wetu hauendani na wingi wa rasilimali tulizo nazo.Hivyo vichwa achana navyo. Hao waliweka misingi mizuri sana kwa hii China tunayoiona leo.
Bongo viongozi wanangalia masilahi yao.
Hao wazee wa Kichina waliweka masilahi ya taifa mbele. Walikuwa na zile plans za muda mrefu, mfupi na wakati.
Na vijana wao akina Jang Zemen, Hu Jintao na Xi Jinping hawajawaangusha bado wanalipandisha taifa kwa policy za hao wazee hapo kwenye picha. Wanachofanya wao ni kuziboresha tu ziendane na mazingira ya sasa
Hatuna sera ya taifa kama China.Kweli mkuu viongozi wetu kuna vitu vya kiuchumi vichwani hawana kabisa na hili ndilo tatizo letu kuu uchumi wetu hauendani na wingi wa rasilimali tulizo nazo.
Unamjua Mjapan au unahadithiwa?Kwa sasa China ana nguvu za kijeshi na kiuchumi kuliko hayo mataifa uliyoyataja.
Labda nchi za Magharibi ziingilie kati kuzisaidia ndo watamweza Mchina
Anangoja kwa Mchina kwa sasaUnamjua Mjapan au unahadithiwa?
Deng asingefanikisha kama Mao asingetengeneza Njia, .Hizi chapa mbili, viongozi wote wa Tanzania kuanzia awamu ya kwanza [ Mwalimu ] mpaka sasa awamu ya sita [ Mama ] nawadai kwa nini wana shindwa kujifunza na kucopy mienendo ya hivi vichwa viwili katika upande wa uchumi ?
View attachment 2343625
Unamjua Mjapan au unahadithiwa?
Japan Ujerumani resources wanazo na technology lakini baada ya WWII ziko chini ya mkataba na UN wa kutotengeneza silaha nzito za kivita, kama adhabu ya wao kuanzisha vita hivyo...nimesikia Japan ameongeza kwa kiasi kikubwa bajeti yake ya ulinzi.
..wachambuzi wanadai Japan itaanza kutengeneza zana nzito za kivita.
Nimekuelewa sana mkuu, pia mimi mwenyewe nawa soma sana hawa watu :- Mao Zedong, Deng Xiaoping , Lee Kuan Yew, Park Chung Hee, Xi JinpingDeng asingefanikisha kama Mao asingetengeneza Njia, .
Lee Kuan Yew Kwangu ni mmoja Kati ya viongozi makini na wenye akili mingi kuwahi kuwepo Duniani, Kumcopy mchina ni ngumu , Tumkopy Lee kuan Yew.
Ukisoma Kitabu chake cha Singapore, From the third world To the First Utanielewa.