India na dawa nzuri sana za miti shamba,

India na dawa nzuri sana za miti shamba,

SOVIET UNION

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
509
Reaction score
1,391
India ni moja ya mataifa yanayo amini sana kwenye Tiba asilia na ndio sababu wana idadi kubwa sana ya dawa za asili. Kampuni kama Himalaya ina dawa nyingi sana za asili za magonjwa tofauti tofauti.

Kwa Dawa za Himalaya welness kama kuna dawa ya asili ya ugonjwa wowote unaitafuta kwa nuda mrefu sana unaweza niambia nikuangalizie .

NB pia na kutoka kampuni zingine ila za India zote
 
Ni kweli kabisa, kuna dawa za asili za India nimezitumia mara kadhaa kwakweli ni nzuri sana (asili sio miti)

Kuna kidonge kipo kama chocolate flani hivi nmesahau jina ni cha kikohozi unakiweka tu chini ya ulimi kinayeyuka, perfect inatibu chaaap.
 
Na wana zile dawa. Za vidonda vya tumbo ukitumia wiki unapona vizuri sana
 
Back
Top Bottom