SOVIET UNION
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 509
- 1,391
Na wana zile dawa. Za vidonda vya tumbo ukitumia wiki unapona vizuri sanaNi kweli kabisa, kuna dawa za asili za India nimezitumia mara kadhaa kwakweli ni nzuri sana (asili sio miti)
Kuna kidonge kipo kama chocolate flani hivi nmesahau jina ni cha kikohozi unakiweka tu chini ya ulimi kinayeyuka, perfect inatibu chaaap.
Zipi hizo.....Na wana zile dawa. Za vidonda vya tumbo ukitumia wiki unapona vizuri sana
Vidonge vyeupe hivii Kuna jamaa alikuwa anatumia jirani yangu kapona wiki tuZipi hizo.....
Naomba uniulizie jina lake kama hautajaliVidonge vyeupe hivii Kuna jamaa alikuwa anatumia jirani yangu kapona wiki tu
Anaitwa frank alikuwa anaumwa sana na vidonda vya tumbo mpaka ndugu zake wakampeleka India huko ndipo alipewa hiyo dawa alikuwa anatapika hadi damu ila kapona asaiviNaomba uniulizie jina lake kama hautajali
Mpe pole sana, nlimaanisha jina la dawa mkuu sio jina la mgonjwa 😁Anaitwa frank alikuwa anaumwa sana na vidonda vya tumbo mpaka ndugu zake wakampeleka India huko ndipo alipewa hiyo dawa alikuwa anatapika hadi damu ila kapona asaivi
Inaitwa zanduMpe pole sana, nlimaanisha jina la dawa mkuu sio jina la mgonjwa 😁
Shukrani nitaitafuta.Inaitwa zandu
Inapatikana tanzania?Inaitwa zandu
Unakaa kwa shemeji?Maokoto yanatafutwa
Sio kweli au uje na Data, India ni moja ya nchi ambayo raia wanakula miaka ya kutoshaIla ndo wanaongoza kwa kusumbuliwa na magonjwa sugu kisukari na saratani