Mjasiriadini huyuHuyu jamaa naijua stori yake. Alikuwa sheikh, akawa anatokewa na Yesu mara kwa mara akiwa msikitini, akaamua kuokoka na kuwa mchungaji. Kwa sasa anahubiri vyote vyote, Qurani na Biblia π
Duuuh aise watu mna mamboYule afande Rama alikuwa shoga wa wapi shehe?
Qur an 17:81 inaonesha kuwa muhammad alikuwa analiwa na allahkwahiyo waislamu mnamfuata shoga mwenzenu.
Aya hiyo inasema "Mola wangu uniingize mwingizo mwema"
Sasa huo mwingizo aliyotaka kuingizwa ni mwingizo gani
nashangaa unashabikia kupigwa waislamu na wayahudi wakati hata hao wakristo ndiyo hawathaminiwi kabisa.Myahudi ndiye huwa hacheki nao, wakimletea shobo huwapiga hadi wanapigika.
Kwanza njoo kwa id yako ya kawaida , unajificha usijulikane ?Yule afande Rama alikuwa shoga wa wapi shehe?
Qur an 17:81 inaonesha kuwa muhammad alikuwa analiwa na allahkwahiyo waislamu mnamfuata shoga mwenzenu.
Aya hiyo inasema "Mola wangu uniingize mwingizo mwema"
Sasa huo mwingizo aliyotaka kuingizwa ni mwingizo gani
Hili taifa la hovyo sana.Wanafunzi wasiopungua wanne wa kigeni wamejeruhiwa baada ya kundi la Wahindu wenye chuki za kidini kuvamia dakhalia ya chuo kikuu katika jimbo la Gujarat magharibi mwa India na kushambulia kundi la wanafunzi waliokuwa wanasali Sala ya Tarawehe katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
Wanafunzi walioshambuliwa wamevieleza vyombo vya habari vya ndani kuwa kikundi kidogo kilikusanyika Jumamosi usiku ndani ya majengo ya dakhalia ya wavulana kwa ajili ya Sala ya Tarawehe kwa kuwa hakuna msikiti kwenye chuo kikuu kilichoko Ahmedabad. Muda mfupi baadaye, kundi la watu waliokuwa na fimbo na visu walivamia hosteli hiyo na kuwashambulia wanafunzi hao na kufanya uharibifu ndani ya vyumba vyao.
Mwanafunzi mmoja amesema: "kikundi cha wanafunzi 15 walikuwa wanasali wakati watu watatu walipowajia na kuanza kupiga makelele ya 'Jai Shri Ram' yaani [Salamu bwana Ram]. Walituzuia tusisali hapaβ.
Mwanafunzi mmoja kutoka Afrika amesema: "hatuwezi kuishi hivi, tulikuja India kusoma na sasa tunashambuliwa kwa sababu ni wakati wa Ramadhani na kwa sababu Waislamu wanasali".
Tovuti ya habari ya Indian Express imeripoti kuwa wanafunzi wawili walijeruhiwa vibaya na wanaendelea kupata matibabu hospitalini baada ya wanafunzi kutoka Afghanistan, Uzbekistan, Sri Lanka, Bangladesh na nchi kadhaa za Afrika kushambuliwa.
Makundi ya Wahindu ya mrengo wa kulia yenye misimamo mikali na chuki za kidini yamekuwa yakiendesha kampeni za hujuma na mashambulio katika maeneo ya umma dhidi ya Waislamu wanaosali.
Mapema mwezi huu, askari polisi mmoja katika mji mkuu New Delhi alisimamishwa kazi baada ya kuwapiga mateke wanaume Waislamu waliokuwa wakisali kando ya barabara.
Kwanini hawakuenda kwa DEAN OF STUDENT?Na wao waislamu hao sio waelewa chuoni hakuna msikiti kwa nini walazimishe kuwemo msikiti? Hao waligeuza hicho chumba walichokuwa wakisalia kuwa msikiti kwa nguvu kuwa eneo la kuswalia waislamu iwe kwa muda mfupi au mrefu
Hao wanafunzi wa kiislamu hawakuwa sahihi.Wahindu walikuwa sahihi kuwavamia
Hawana akili hao wanafunzi
Hiyo ni suratul Israai ayah ya 81 inasema "hakika imekuja haki na imejitenga batwili".Yule afande Rama alikuwa shoga wa wapi shehe?
Qur an 17:81 inaonesha kuwa muhammad alikuwa analiwa na allahkwahiyo waislamu mnamfuata shoga mwenzenu.
Aya hiyo inasema "Mola wangu uniingize mwingizo mwema"
Sasa huo mwingizo aliyotaka kuingizwa ni mwingizo gani
Embu soma kisa cha watu wa Sodoma walivyoangamizwa.Yule afande Rama alikuwa shoga wa wapi shehe?
Qur an 17:81 inaonesha kuwa muhammad alikuwa analiwa na allahkwahiyo waislamu mnamfuata shoga mwenzenu.
Aya hiyo inasema "Mola wangu uniingize mwingizo mwema"
Sasa huo mwingizo aliyotaka kuingizwa ni mwingizo gani
Hao wameandamana au wamefanya insurgence??Mfano hai huo wapo kwenye video ya maandamano ya pemba
Kuongezea hilo kaka dini ya kihindu ni dini inayomchukulia mwanamke kiumbe dhalili na mtumwa.Jamii ni jumla ya mtu mmoja mmoja. Chuo ni Taasisi iliyomo sehemu ya jamii na kwa msingi huo imekusanya jamii ya mtu mmoja mmoja wenye tamaduni tofauti.
Hao vijana wamekosa eneo la kuswalia kufanya ibada zao. Kama hilo suala lingekuwa halifai uongozi wa Chuo upo ungetoa mwongozo. Lakini kilichofanyika ni jamii ya watu fulani kuwafanyia vurugu.
Tutarudi kule kule; India ni nchi ambayo bado haijastaarabika.
Hawa hawajastaarabika.Mleta uzi kaandika kisaniisanii sana.Wahindu hawataki maeneo yao yatumike kinyume na dini yao.Uelewe hilo.Hawakuwavamia bila sababu.
Kwani Kazi ya Dean of Students kazi yake mojawapo ni kuanzisha msikiti au kanisa eneo la chuo kwenye kazi zake anazopangiwa as a Dean of Students eneo la chuo? Ndio nasikia kwako.Kwanini hawakuenda kwa DEAN OF STUDENT?
JE HAPO CHUONI HAKUNA UONGOZI WA KUWASHITAKIA??
UNAONEKANA FALA AMBAYE HAJUI MAANA YA ADMINISTRATION
Hujaelewa kabisa nilichozungumza.Kwani Kazi ya Dean of Students kazi yake mojawapo ni kuanzisha msikiti au kanisa kwenye kazi zake anazooangiwa as a Dean of Students eneo la chuo? Ndio nasikia kwako.
OkHujaelewa kabisa nilichozungumza.
Dean kazi yake ni kuwatizama wanafunzi kwa minajili yote ya mahitaji yao.
Kama kuna sheria imepindishwa wa kwanza kujulishwa ni dean of students.
KAMA HAO WAISLAM WALIANZISHA IBADA AMBAYO NI KINYUME NA SHERIA ZA SHULE,hao wanafunzi wangeenda kwa uongozi wa chuo ikiwemo dean ili waripoti hilo tukio ila sio kujichukulia sheria mkononi.
Au chuo ulichosoma ilikua sheria mnajichukulia mkononi sio kwenda katika uongozi wa chuo??
Wapi wametaka watu fulani wafuate taratibu zao?
Mbona kawaidaUhuru wa kuabudu ni jambo muhimu sana, kila mmoja aachiwe aabudu mambo yake, nafikiri hadi hapo mumeona jinsi wengine hupata kero mnapowazuia kuabudu mambo yao, Wakristo huteswa sana kwenye nchi za Kiislamu, mkuki kwa nguruwe.
Tuheshimiane kwenye imani zetu maana wewe hapo huna uwezo wa kunidhihirishia uwepo wa unayemuabudu hivyo usilazimishe wengine.
Watu wazima wanaandamana kupinga ujenzi wa kanisa.
[URL? unfurl="true" media="youtubeπcwvILodCKM"]
View: https://www.youtube.com/watch?v=pcwvILodCKM[/URL]
Ivi humu JF hakuna wahindi tuwasikie? Mimi naheshimu tamaduni za watu, anayemjua mhindi wa humu amtag ili aje atiririkeNdugu, umeisoma taarifa?
Uzi umeelezea kuwa Chuoni hapo hakuna msikiti. Sasa inakuwaje unauliza swali ambalo jawabu lake lilishawekwa?
Ndugu, umeisoma tena taarifa? Wapi maudhui yamesema wamelazimisha hicho chumba kuwa msikiti kwa nguvu?
Narendra Modi hufahamu kuwa chama Chao cha Bharatiya Janata ni chama cha wahafidhina chenye msimamo mkali wa kihindu?
Angalia uongozi wa Modi na PM aliyepita kabla yake mbona hizo jamii ziliishi vizuri misuguano haikuwepo kama Modi na chama Chao kiliposhika madaraka?
Inakubidi ufahamu siasa ya India inavyokwenda ndugu mtanzania.