Huenda mila, dini na tamaduni za kihindi zinachangia ?....kama vipi waanzishe sera kali kama China kudhibiti ongezeko hilo la kutisha kwa miaka kadhaa.Hao wajinga sio mchezo, Kazi ya kuzaa wanaijua.
Huenda mila, dini na tamaduni za kihindi zinachangia ?....kama vipi waanzishe sera kali kama China kudhibiti ongezeko hilo la kutisha kwa miaka kadhaa.
imhotep Yoda T14 Armata
Ina maana wanaosema Waafrica tunazaa sana wanatuonea ?.....labda tutakuja kuwapiku hao jamaa mbeleniYaani 2.8B Kati ya 8B zimeenda Kwa Race's Mbili. Hiyo sio mchezo aisee
Kudhibiti ili iweje? Waafrika mnadanganywa na wazungu eti population inaharibu mazingira na nyie mnadanganyika mnaacha kuzaana matokeo yake mnaenda kuisha duniani. Wahindi na wachina wana akili wanakataa huo ujinga maana wanajua population ni nguvu ya superiority. Mataifa yenye watu wengi ndo yanakuja kuwa na nguvu sana kiuchumi.Huenda mila, dini na tamaduni za kihindi zinachangia ?....kama vipi waanzishe sera kali kama China kudhibiti ongezeko hilo la kutisha kwa miaka kadhaa.
imhotep Yoda T14 Armata
Population kubwa kuharibu mazingira huo ni ukweli kabisa........kuhusu kuwa na watu wengi ni nguvu kubwa kiuchumi sijui sana.Kudhibiti ili iweje? Waafrika mnadanganywa na wazungu eti population inaharibu mazingira na nyie mnadanganyika mnaacha kuzaana matokeo yake mnaenda kuisha duniani. Wahindi na wachina wana akili wanakataa huo ujinga maana wanajua population ni nguvu ya superiority. Mataifa yenye watu wengi ndo yanakuja kuwa na nguvu sana kiuchumi.
India inaongoza bwanahii ni kwa ndani ya china but kidunia china still inaongoza wengi wamezagaa duniani
India hawajafikia level ya kiuchumi ya China kuacha kupungua kuzaana, hata China ilikuwa mbali na level za South Korea na mbali zaidi na level za Japan kijamii.Huenda mila, dini na tamaduni za kihindi zinachangia ?....kama vipi waanzishe sera kali kama China kudhibiti ongezeko hilo la kutisha kwa miaka kadhaa.
imhotep Yoda T14 Armata
Ina maana wanaosema Waafrica tunazaa sana wanatuonea ?.....labda tutakuja kuwapiku hao jamaa mbeleni
hio ni kwa nchi zao ndani but nafikiri kwa watu total wachina wengi sana wametapakaa dunia nzima
Vice versa is true, Wahindi ndio watu wengi duniani Hata Kabla India Hajaipita Chinahii ni kwa ndani ya china but kidunia china still inaongoza wengi wamezagaa duniani
Hakuna sehemu wahindi hawapohii ni kwa ndani ya china but kidunia china still inaongoza wengi wamezagaa duniani
Wingi wa watu ni mzuri zaidi.Huenda mila, dini na tamaduni za kihindi zinachangia ?....kama vipi waanzishe sera kali kama China kudhibiti ongezeko hilo la kutisha kwa miaka kadhaa.
imhotep Yoda T14 Armata
Ndio mfano Tanzania tuna eneo kubwa ila ni wachache, twatakiwa tuwe angalau milioni 100Ina maana wanaosema Waafrica tunazaa sana wanatuonea ?.....labda tutakuja kuwapiku hao jamaa mbeleni