India yaipiku China kwa idadi ya watu

India yaipiku China kwa idadi ya watu

Waafrika bado Sana.
Tatizo la waafrika ni kudandia mambo ya watu.
Bora Wasukuma Kwa hapa Tanzania wameamua kuendelea kukiwasha, nafikiri miaka 20 ijayo wakiendelea hivi alafu baadhi Yao wakasomeshwa vizuri wanaweza kuitawala Tanzania watakavyo
Wasukuma hawatanii kwenye kuzaana. Hadi sasa ndo kabila kubwa....
Jamii itayopotea ni wachaga maana mademu wao hawaolewi,hawazai,na madume wamegeuka mashoga
 
Huenda mila, dini na tamaduni za kihindi zinachangia ?....kama vipi waanzishe sera kali kama China kudhibiti ongezeko hilo la kutisha kwa miaka kadhaa.

imhotep Yoda T14 Armata
Tena wamezika sana watoto wa kike
Maana ukiwa na mtoto wa kike jukumu lako la mahari ni wewe
Imagine wasichana wangapi wameuwawa baada tu ya kuzaliwa

Hao wote wangeishi na kuzaa nafikiri wangekuwa wengi zaidi
 
Wa
Vice versa is true, Wahindi ndio watu wengi duniani Hata Kabla India Hajaipita China

We angalia tu Hapa Tanzania wahindi na wachina wapi wengi? Wahindi wapo hadi wilayani.

Sehemu Kama Durban South Africa Kuna wahindi 1.3M,
Wachina niwengi zaidi. Taiwan wako kama 25m. Ukiongeza hapo wanaipita Imdia mbali. Singapoer zaidi ya 5m. Malaysia milio ni kadhaa nk nk . Wachina wengi sana.
 
Watu ni direct proportional na kodi so jukumu la serikali ni kuhakikisha linawatumia raia kuzalisha ili wapate kodi. Hio ni kwa waliojitambua na walioendelea kifikra huko kama Ulaya na Marekani.

Huku bongo serikali haijui cha kufanya ili raia wawe na tija kwa nchi. Wao wanafikiria familia zao zikijihusisha na utawala ndio wamemaliza umaskini. Kumbe kuna kundi kubwa lafaa kutumiwa ili lizalishe maendeleo ya taifa. Wanaona sifa kuiba hata kidogo kinachozaliswha na raia wachache.
 
Huenda mila, dini na tamaduni za kihindi zinachangia ?....kama vipi waanzishe sera kali kama China kudhibiti ongezeko hilo la kutisha kwa miaka kadhaa.

imhotep Yoda T14 Armata
Mila na tamaduni ni baadhi ya sababu tu ila tatizo lengine kubwa zaidi ni siasa za kijinga na hovyo ambapo wanasiasa walioko madarakani au wanaotaka kushika madaraka kuna baadhi ya mambo wanayafanya kama taboos na hayagusiki kabisa.

Duniani kote kwa binadamu ambao hawajaendelea au masikini ni asili, wanapenda na wanaona fahari kuzaa watoto wengi. Unahitaji serikali thabiti na jeuri kama ya China isoyopelekeshwa na upepo wa kisiasa kuweza kudhibiti uzazi na ongezeko la watu lisilo na tija katika nchi.
 
Is a large population an asset or a liability ?... Discuss

imhotep
Ni asset kwa nchi husika kama serikali inayo mipango thabiti ya muda mrefu ya hao watu wanaoongezeka, vinginevyo mara nyingi na katika nchi nyingi ni mzigo tu. Hata hivyo ongezeko la watu kwa dunia kwa ujumla ni liability ila hakuna nchi inayofikiria au kutilia maanani sana mambo kwa ujumla wa dunia.
 
Kudhibiti ili iweje? Waafrika mnadanganywa na wazungu eti population inaharibu mazingira na nyie mnadanganyika mnaacha kuzaana matokeo yake mnaenda kuisha duniani. Wahindi na wachina wana akili wanakataa huo ujinga maana wanajua population ni nguvu ya superiority. Mataifa yenye watu wengi ndo yanakuja kuwa na nguvu sana kiuchumi.
Wastani wa mwanamke kuzaa kwa Africa yote ni watoto 4.3, wastani wa kuzaa kwa mwanamke Sub-Saharan Africa au Africa chini ya jangwa la Sahara ambayo ni Waafrika weusi ni watoto 5, wastani wa mwanamke kuzaa kwa dunia ni watoto 2.3
Unaposema Waafrika wanadanganywa na wanaacha kuzaliana unamaanisha nini??
 
Wa

Wachina niwengi zaidi. Taiwan wako kama 25m. Ukiongeza hapo wanaipita Imdia mbali. Singapoer zaidi ya 5m. Malaysia milio ni kadhaa nk nk . Wachina wengi sana.
Kama unaongea hivi Pakistan milioni 200 na upuuzi, Bangladesh milioni 100 na upuuzi, Sri lanka, Nepal, mpaka South America kuna Nchi za wahindu.

Hata hizo Nchi kama Malyasia, Bhutan, Maldives kuna wahindi wa kutosha kiasili.
 
Waafrika bado Sana.
Tatizo la waafrika ni kudandia mambo ya watu.
Bora Wasukuma Kwa hapa Tanzania wameamua kuendelea kukiwasha, nafikiri miaka 20 ijayo wakiendelea hivi alafu baadhi Yao wakasomeshwa vizuri wanaweza kuitawala Tanzania watakavyo
Akili za kutawalana kimakabila na kikoo ni chanzo kimojawapo cha uharibifu, vita, vurugu na umaskini mkubwa kuendelea kukita mizizi Africa.
 
Akili za kutawalana kimakabila na kikoo ni chanzo kimojawapo cha uharibifu, vita, vurugu na umaskini mkubwa kuendelea kukita mizizi Africa.

Dunia ndio Ipo hivyo, huoni Nchi za magharibu nazo zinahangaika kutawala Ulimwengu na hazitaki kuona mataifa mengine yaki-rise.

Hivyo ndivyo Dunia ilivyo, sio waafrika tuu Bali hata Wazungu, Wachina n.k
 
Kuzaliana wazaliane nchi za watu wenye akili na mifumo imara.

Nchi kama bongo ni kuongeza watu mizigo. Naita useless eaters. Tuna tamaduni za ovyo, elimu mbovu, mifumo mibovu ya utawala na sera, uchumi taabani na wajinga wengi.

Tunapaswa kudhibiti uzaaji holela, ningeenda mbali ila nahofia kuzusha mijadala ya ukabila.

Kuna makabila yanapaswa kuwa restricted kuongezeka.
 
Dunia ndio Ipo hivyo, huoni Nchi za magharibu nazo zinahangaika kutawala Ulimwengu na hazitaki kuona mataifa mengine yaki-rise.

Hivyo ndivyo Dunia ilivyo, sio waafrika tuu Bali hata Wazungu, Wachina n.k
Hata kama ni hivyo idadi kubwa ya watu haikufanyi uwe na uwezo mkubwa wa kuwatawala wengine. Watusi Rwanda ni wachache, Tigrinya Ethiopia ni wachache, Wanachama chama cha Kikomunisti China(CCP) wako milioni 95 tu, Makaburu waliowatawala weusi Africa Kusini walikuwa 10% tu ya watu wote, Waingereza karne ya 19 waliitawala robo ya dunia, mifano ni mingi.
 
Back
Top Bottom