Waarabu asili wanajulikana vizuri sana, waarabu mchanganyiko wapo pia na pia wanaolazimishia uarabu hao wapo. Ukifika Saudi Arabia 90% ya raia utaonyeshwa na utaambia hawa ni waarabu pure, utaonyeshwa pia 10% ya Waarabu mchanganyiko.
Definition ya sasa ya waarabu ina cover
-nchi zote za Africa Egpty, Morocco, Sudan, Libya, na wengineo japo hao si waarabu.
-Levant wote Lebanon, Palestine, part za Syria japo si waarabu
-Iraq huko Mesapotania na ethnicity nyengine pia Wanaitwa waarabu.
Wanaitwa tu waarabu sababu wa naongea kiarabu na kuifuata culture ya kiarabu ila kiasili anaweza kuwa Kopt, Amazingh, Nubia, maronite, Greeks, Armenian, Yazid etc.
Waarabu kiasili ni wale wanaishi Ghuba Oman, Yemen, UAE, Kuwait, Saudi Arabia na Part ya Iraq, Syria etc.
Ni knowledge ya kawaida inajulikana ila definition ya sasa, Elimu ya sasa na ilivyozoeleka waarabu ni wakaazi wa Middle East toa Iran na Uturuki.
Same kwa China Same concept kama waarabu Han ni Mchina yoyote anaefuata Mila za kichina na Kuongezea kichina, kuna Ethnicity nyingi mno zimefunikwa ndani.