India yaipiku China kwa idadi ya watu

India yaipiku China kwa idadi ya watu

Kama unaongea hivi Pakistan milioni 200 na upuuzi, Bangladesh milioni 100 na upuuzi, Sri lanka, Nepal, mpaka South America kuna Nchi za wahindu.

Hata hizo Nchi kama Malyasia, Bhutan, Maldives kuna wahindi wa kutosha kiasili.
Hawa wahindi wengi si jamii moja, yaani kabila moja. Lakini wachina karibu wote hao ni kabila moja la Han.
 
Hawa wahindi wengi si jamii moja, yaani kabila moja. Lakini wachina karibu wote hao ni kabila moja la Han.
Unamaanisha Ethnicity sio ni kama Definition ya Uarabu, sababu waarabu wana culture moja na kuongea lugha moja wanaitwa waarabu haimaanishi kila anaeongea kiarabu ni mwarabu.

Same kwa Han its more of generic term kuliko actual Ethnicity. Han ndani yake kuna Makabila/Race kibao ambazo zimekua assimilated, sasa hivi mtu tu akifuata culture ya kichina na Kuongea kichina anakua Han.
 
Unamaanisha Ethnicity sio ni kama Definition ya Uarabu, sababu waarabu wana culture moja na kuongea lugha moja wanaitwa waarabu haimaanishi kila anaeongea kiarabu ni mwarabu.

Same kwa Han its more of generic term kuliko actual Ethnicity. Han ndani yake kuna Makabila/Race kibao ambazo zimekua assimilated, sasa hivi mtu tu akifuata culture ya kichina na Kuongea kichina anakua

Unamaanisha Ethnicity sio ni kama Definition ya Uarabu, sababu waarabu wana culture moja na kuongea lugha moja wanaitwa waarabu haimaanishi kila anaeongea kiarabu ni mwarabu.

Same kwa Han its more of generic term kuliko actual Ethnicity. Han ndani yake kuna Makabila/Race kibao ambazo zimekua assimilated, sasa hivi mtu tu akifuata culture ya kichina na Kuongea kichina anakua Han.
Wachina(Han Chinese) utakuta wana muonekano, lugha na utamaduni mmoja wawe wa kutoka China, Taiwan, Singapore au USA. Tofauti na Wahindi. Hatuwezi kuwaweka Wapunjabi wa Pakistan na Watamil wa India kama jamii moja. Wana muonekano, lugha na utamaduni tofauti kabisa.
 
hii ni kwa ndani ya china but kidunia china still inaongoza wengi wamezagaa duniani
hakuna nchi haina mhindi wahindi km wasukuma kila sehem wamejaa na wamekuwa raia tyr wa nchi husika ila ukiacha ulaya na USA mchina hawapo nchi yoyote kama raia ukilinganisha na wahindi
 
Ina maana wanaosema Waafrica tunazaa sana wanatuonea ?.....labda tutakuja kuwapiku hao jamaa mbeleni
Tatizo la waafrica tunazaaa Sana na tunakufa Sana, kulinganisha na hayo mataifa ndio maana idadi yetu imekuwa haiongezeki sana, Kama wahindi na wachina
 
Vice versa is true, Wahindi ndio watu wengi duniani Hata Kabla India Hajaipita China

We angalia tu Hapa Tanzania wahindi na wachina wapi wengi? Wahindi wapo hadi wilayani.

Sehemu Kama Durban South Africa Kuna wahindi 1.3M,
Sio kweli Durban Haina wahindi 1.3 Milioni. Labda useme south Africa nzima ina idadi ya wahindi 1.3 Milioni
 
Kuzaliana wazaliane nchi za watu wenye akili na mifumo imara.

Nchi kama bongo ni kuongeza watu mizigo. Naita useless eaters. Tuna tamaduni za ovyo, elimu mbovu, mifumo mibovu ya utawala na sera, uchumi taabani na wajinga wengi.

Tunapaswa kudhibiti uzaaji holela, ningeenda mbali ila nahofia kuzusha mijadala ya ukabila.

Kuna makabila yanapaswa kuwa restricted kuongezeka.
Ungewataja wazaramo, wamasai na wagogo wanazaaa tuuu na kudhururua Tanzania. Wazaramo itafikia kipindi hiii pwani nzima watatafuta sehemu ya kwenda kujificha yaani maana wao wakiona maendeleo wanakimbia. Wamasai wapuuuzi wanazururura na ng'ombe Tanzania nzima
 
Wachina(Han Chinese) utakuta wana muonekano, lugha na utamaduni mmoja wawe wa kutoka China, Taiwan, Singapore au USA. Tofauti na Wahindi. Hatuwezi kuwaweka Wapunjabi wa Pakistan na Watamil wa India kama jamii moja. Wana muonekano, lugha na utamaduni tofauti kabisa.
Si kweli hata Han Chinese wana muonekano tofauti, kama ilivyo india Wachina wa North ni weupe sana, warefu na wana feature kama za Kirusi, baridi sana, Pombe kwa wingi etc.

Wachina wa south hawana Tofauti sana na Malyasia, Ufilipino na nchi nyengine za South wana dark skin, wafupi, pengine sio weusi kama Tamil ila nao sio weupe pia,

Issue hivi vitu kama hujagoogle ama kusoma mahali huwezi kufahamu, kama vile Tanzania wahindi karibia wote ni Punjab ukimuambia mtu ambaye kawaona wahindi Posta na movie za Bollywood kwamba wahindi wengi sio weupe vile hatakuelewa.

Same kwa wachina kama unawajua wachina kkoo na kwenye Movie ukamuambia wachina wote hawafanani hatakuelewa.
 
Sio kweli Durban Haina wahindi 1.3 Milioni. Labda useme south Africa nzima ina idadi ya wahindi 1.3 Milioni
Hio 1.3 ya zamani sasa hivi wanaweza fika 1.5m

Si kweli hata Han Chinese wana muonekano tofauti, kama ilivyo india Wachina wa North ni weupe sana, warefu na wana feature kama za Kirusi, baridi sana, Pombe kwa wingi etc.

Wachina wa south hawana Tofauti sana na Malyasia, Ufilipino na nchi nyengine za South wana dark skin, wafupi, pengine sio weusi kama Tamil ila nao sio weupe pia,

Issue hivi vitu kama hujagoogle ama kusoma mahali huwezi kufahamu, kama vile Tanzania wahindi karibia wote ni Punjab ukimuambia mtu ambaye kawaona wahindi Posta na movie za Bollywood kwamba wahindi wengi sio weupe vile hatakuelewa.

Same kwa wachina kama unawajua wachina kkoo na kwenye Movie ukamuambia wachina wote hawafanani hatakuelewa.
Tofauti sababu ya jua kusini ya China. Na muingiliano kwa watu wa mipakani. Lakini wote ni Han Chinese wenye lugha, utamaduni na phenotype sawa. Ndiyo maana jamii yenye watu wengi zaidi duniani ni hao Han Chinese. Kwanza unafahamu ndiyo ya India kuna kabila la Wahindi? Hao ndiyo kabila kubwa. Tunawaita watu kutoka India Wahindi, tulitakiwa kuwaita Waindi. Wahindi Hawahusiani kwa lugha na utamaduni na wapunjabi, watamil au wabengali.

Wachina ndiyo jamii iliyo na watu wengi zaidi duniani. Indians ni mchanganyiko wa jamii nyingi ya watu, siyo jamii moja.
 
Upo sahihi kuwa Han ni kabila kubwa kwa wachina ila pia kuna makabila mengine zaidi ya 50 yana wawakilisha wachina ndani na nje ya China

Hivyo sio kila mchina ni Han japokuwa Han ndio wengi zaidi
Kweli, kuna wamanchuria, watibet, Ughurs wanaonyanyaswa nk nk. Lakini Wahan pekee duniani ni karibi bilioni na kadhaa. Wakati India kabila kubwa la wahindi ni kama milioni mia tatu na kidogo.
 
  • Thanks
Reactions: TPP
Kudhibiti ili iweje? Waafrika mnadanganywa na wazungu eti population inaharibu mazingira na nyie mnadanganyika mnaacha kuzaana matokeo yake mnaenda kuisha duniani. Wahindi na wachina wana akili wanakataa huo ujinga maana wanajua population ni nguvu ya superiority. Mataifa yenye watu wengi ndo yanakuja kuwa na nguvu sana kiuchumi.
Tatizo waafrika wanazaa kama sungura halaf uzalishaji duni kwa hiyo kuzaana kwa waafrica inakuwa hasara tu. Kwa mfano Tz fanya utafiti ni watu wangapi wanazalisha na kulipa kodi ya mapato ndo utajua kwa nini kuzaa sana sio deal kwa waafrika. Waafrika wanazaa sana na hawa wanaozaliwa ni masoko ya bidhaa za china na india. Uliza hao wanaozaliwa wanazalisha nini cha maana utakuta hakuna matokeo yake hata ujenzi wa choo, vyandarua, huduma za afya, elimu na kadhalika ni kwa hisani ya wafadhili sasa utasemaje kuzaana kwa waafrika kuna faida kama hawawezi kujitegemea?
 
hii ni kwa ndani ya china but kidunia china still inaongoza wengi wamezagaa duniani
....na vipi kuhusu India? Kwani wao wamekusanyika na kujibanza nchini mwao pekee?
 
China kuna makabila mengi sana zaidi ya 50 ila Han ndilo kabila kubwa China na nje ya China sio kila mchina ni kutoka kabila la Han

Kuna tofauti za kimionekano ya kimwili, lugha na baadhi ya tamaduni baina ya makabila na makabila ndani ya China ila wote wanahesabika wachina kuna Han, Hui, Bai, Manchu, Zhuang,Miao, Tibetian, Yi, Dong, Uyghurs, Mongols e.t.c
Nafahamu ila mimi naongea specifically Han, Han wenyewe sio kabila wala Ethinicity ndio maana nikatoa mfano wa waarabu, leo ukiuliza mwarabu ni nani utapata definition hata 100 haieleweki.

Han ni jina tu la pamoja wamepewa watu wa china wenye asili ya China, ila ndani kuna Ethnicity nyingi mno ambazo zimejumlishwa pamoja.

Na nimetoa mfano huo wa South na North China, South wanakua weusi kidogo na North weupe zaidi ila wote ni Han.
 
Kama unaongea hivi Pakistan milioni 200 na upuuzi, Bangladesh milioni 100 na upuuzi, Sri lanka, Nepal, mpaka South America kuna Nchi za wahindu.

Hata hizo Nchi kama Malyasia, Bhutan, Maldives kuna wahindi wa kutosha kiasili.
Anawapiganisha India na China ila kwanza anaifunga mikono India ndiyo anaamuru ngumi zianze.
 
Hapana sio kweli kuwa Han ndicho kiwakilishi cha wachina japokuwa imezoeleka hivyo duniani

Han wana historia yao na dynasty yao iliyo wapa umaarufu na umuhimu zaidi China na duniani ila sio kwamba ikitamkwa Han basi inawakilisha wachina wote hapana haipo hivyo
Sijakataa unachokiongea ila siongelei unachokiongea, naongelea specific Han, Nafahamu Kuna wachina wengine ambao sio Han
 
  • Thanks
Reactions: TPP
ukifanya population versus ukubwa wa nchi, bingwa wa watu wengi hapo ni bangladeshi, inaonekana hao jamaa kazi kubwa wanayofanya ni kuti.ana tu😀😀😀
Bangladesh ni ya 10 Duniani Kwa Density, Macau, Monaco, Singapore, Hong Kong zipo juu Zaidi
 
Back
Top Bottom