Wasukuma hawatanii kwenye kuzaana. Hadi sasa ndo kabila kubwa....Waafrika bado Sana.
Tatizo la waafrika ni kudandia mambo ya watu.
Bora Wasukuma Kwa hapa Tanzania wameamua kuendelea kukiwasha, nafikiri miaka 20 ijayo wakiendelea hivi alafu baadhi Yao wakasomeshwa vizuri wanaweza kuitawala Tanzania watakavyo
Tena wamezika sana watoto wa kikeHuenda mila, dini na tamaduni za kihindi zinachangia ?....kama vipi waanzishe sera kali kama China kudhibiti ongezeko hilo la kutisha kwa miaka kadhaa.
imhotep Yoda T14 Armata
Wachina niwengi zaidi. Taiwan wako kama 25m. Ukiongeza hapo wanaipita Imdia mbali. Singapoer zaidi ya 5m. Malaysia milio ni kadhaa nk nk . Wachina wengi sana.Vice versa is true, Wahindi ndio watu wengi duniani Hata Kabla India Hajaipita China
We angalia tu Hapa Tanzania wahindi na wachina wapi wengi? Wahindi wapo hadi wilayani.
Sehemu Kama Durban South Africa Kuna wahindi 1.3M,
Lakini sio sawa na wachina katika rate hata hapa tz wachina ni wengi sanaHakuna sehemu wahindi hawapo
Wenye tija sio tegemezi.Population kubwa kuharibu mazingira huo ni ukweli kabisa........kuhusu kuwa na watu wengi ni nguvu kubwa kiuchumi sijui sana.
Mila na tamaduni ni baadhi ya sababu tu ila tatizo lengine kubwa zaidi ni siasa za kijinga na hovyo ambapo wanasiasa walioko madarakani au wanaotaka kushika madaraka kuna baadhi ya mambo wanayafanya kama taboos na hayagusiki kabisa.Huenda mila, dini na tamaduni za kihindi zinachangia ?....kama vipi waanzishe sera kali kama China kudhibiti ongezeko hilo la kutisha kwa miaka kadhaa.
imhotep Yoda T14 Armata
Ni asset kwa nchi husika kama serikali inayo mipango thabiti ya muda mrefu ya hao watu wanaoongezeka, vinginevyo mara nyingi na katika nchi nyingi ni mzigo tu. Hata hivyo ongezeko la watu kwa dunia kwa ujumla ni liability ila hakuna nchi inayofikiria au kutilia maanani sana mambo kwa ujumla wa dunia.
ina maana gani kumbambana sana huku mnaogolea kwenye umaskini?
Wastani wa mwanamke kuzaa kwa Africa yote ni watoto 4.3, wastani wa kuzaa kwa mwanamke Sub-Saharan Africa au Africa chini ya jangwa la Sahara ambayo ni Waafrika weusi ni watoto 5, wastani wa mwanamke kuzaa kwa dunia ni watoto 2.3Kudhibiti ili iweje? Waafrika mnadanganywa na wazungu eti population inaharibu mazingira na nyie mnadanganyika mnaacha kuzaana matokeo yake mnaenda kuisha duniani. Wahindi na wachina wana akili wanakataa huo ujinga maana wanajua population ni nguvu ya superiority. Mataifa yenye watu wengi ndo yanakuja kuwa na nguvu sana kiuchumi.
Kama unaongea hivi Pakistan milioni 200 na upuuzi, Bangladesh milioni 100 na upuuzi, Sri lanka, Nepal, mpaka South America kuna Nchi za wahindu.Wa
Wachina niwengi zaidi. Taiwan wako kama 25m. Ukiongeza hapo wanaipita Imdia mbali. Singapoer zaidi ya 5m. Malaysia milio ni kadhaa nk nk . Wachina wengi sana.
Akili za kutawalana kimakabila na kikoo ni chanzo kimojawapo cha uharibifu, vita, vurugu na umaskini mkubwa kuendelea kukita mizizi Africa.Waafrika bado Sana.
Tatizo la waafrika ni kudandia mambo ya watu.
Bora Wasukuma Kwa hapa Tanzania wameamua kuendelea kukiwasha, nafikiri miaka 20 ijayo wakiendelea hivi alafu baadhi Yao wakasomeshwa vizuri wanaweza kuitawala Tanzania watakavyo
Akili za kutawalana kimakabila na kikoo ni chanzo kimojawapo cha uharibifu, vita, vurugu na umaskini mkubwa kuendelea kukita mizizi Africa.
Hata kama ni hivyo idadi kubwa ya watu haikufanyi uwe na uwezo mkubwa wa kuwatawala wengine. Watusi Rwanda ni wachache, Tigrinya Ethiopia ni wachache, Wanachama chama cha Kikomunisti China(CCP) wako milioni 95 tu, Makaburu waliowatawala weusi Africa Kusini walikuwa 10% tu ya watu wote, Waingereza karne ya 19 waliitawala robo ya dunia, mifano ni mingi.Dunia ndio Ipo hivyo, huoni Nchi za magharibu nazo zinahangaika kutawala Ulimwengu na hazitaki kuona mataifa mengine yaki-rise.
Hivyo ndivyo Dunia ilivyo, sio waafrika tuu Bali hata Wazungu, Wachina n.k
Liability
Boresheni maisha watu waishi wastani wa miaka 70 au 80 kutoka miaka 66 ya sasa.Ndio mfano Tanzania tuna eneo kubwa ila ni wachache, twatakiwa tuwe angalau milioni 100
Waafrika wanazaana sana na pia wanakufa sana. Wastani wa umri wa kuishi Africa ni miaka 60. India ni miaka 70 na China ni 78.Ina maana wanaosema Waafrica tunazaa sana wanatuonea ?.....labda tutakuja kuwapiku hao jamaa mbeleni