Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 297
- 285
huenda wakatoboka zaid 🐒Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima amesema kwa mujibu wa kanuni Chama kisichosaini kanuni za maadili hakitashiriki uchaguzi.
View attachment 3300435
“Chama cha siasa ambacho hakita saini kanuni za maadili ya uchaguzi kesho hakitapata fursa ya kushiriki uchaguzi mkuu…” - Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima akizungumza katika mahojiano maalum kwenye kipindi cha #AlasiriLaunge #UTV
Chama kisichosaini hakitapata fursa ya kusimamisha uchaguzi.
Yajayo yanafurahishahuenda wakatoboka zaid 🐒
Kwa sababu wao CHADEMA walishasema hawatashiriki sioni kama kuna cha maana watafanya. Msimamo wao unajulikana kuwa hawashirikiMkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima amesema kwa mujibu wa kanuni Chama kisichosaini kanuni za maadili hakitashiriki uchaguzi.
View attachment 3300435
“Chama cha siasa ambacho hakita saini kanuni za maadili ya uchaguzi kesho hakitapata fursa ya kushiriki uchaguzi mkuu…” - Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima akizungumza katika mahojiano maalum kwenye kipindi cha #AlasiriLaunge #UTV
Chama kisichosaini hakitapata fursa ya kusimamisha uchaguzi.
Wewe wasemaKupanga ni kuchagua,aliyeshiba hatambui wenye njaa.
KabisaaaMkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima amesema kwa mujibu wa kanuni Chama kisichosaini kanuni za maadili hakitashiriki uchaguzi.
View attachment 3300435
“Chama cha siasa ambacho hakita saini kanuni za maadili ya uchaguzi kesho hakitapata fursa ya kushiriki uchaguzi mkuu…” - Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima akizungumza katika mahojiano maalum kwenye kipindi cha #AlasiriLaunge #UTV
Chama kisichosaini hakitapata fursa ya kusimamisha uchaguzi.
G55 kushirki hafla hiyo muhimu 🐒Yajayo yanafurahisha
Kabisaaa
Hafla gani ndugu chawG55 kushirki hafla hiyo muhimu 🐒
Kabisaaa
Kwani CHADEMA ni taasisi au ni chama kilicho ndani ya briefcase ya Lissu?Lissu yuko wapi?
Lissu akikubali kusaini,NEC watakwenda Keko?
Au Lissu atapelekwa NEC?
Kwani katiba inasema hivyo? Je hizi kanuni zinatungwa na tume ni kubwa kuliko katiba? Wanaweza wakasaini kisha wasishiriki hakuna shidaMkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima amesema Chama cha siasa ambacho hakita saini kanuni za maadili ya uchaguzi kesho hakitapata fursa ya kushiriki uchaguzi mkuu.
View attachment 3300450