Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 20,292
- 24,746
Huu ndio ujinga wenyewe saaasaa....ambao hatuutaki....haya ni maelekezoo sio kanuni wala sheria upuuzii Kailima anatumika kama tissue ya chooniii.....ndio maana tunataka reformsMkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima amesema Chama cha siasa ambacho hakita saini kanuni za maadili ya uchaguzi kesho hakitapata fursa ya kushiriki uchaguzi mkuu.
View attachment 3300450